Recent content by Nkachapwe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nilivyo uanza mwaka 2013

    Juzi tulipata wageni kutoka China walikuja kutembea nchini kwetu na kusherehekea mwaka mpya. Katuka watu waliokuwemo kwenye msafara wa kuwaongoza namimi nilikuwemo kwakuwa najua kichina kidogo. Leo tukiwa maeneo ya sunrise nilipata kituko kimoja cha kufungua mwaka.Wakati tuko njiani kuelekea...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Namba unayopiga kwasas haipatikani

    Kulikuwa na mzee mmoja ambaye ilikuwa kila akipiga simu anaambiwa kuwa namba unayopiga haipatikani siku moja akaamua kwenda makao makuu na kukutana na muhudumu ikawa hivi Mzee"Samahani mjukuu wangu" muhudumu "Bila samahani Mzee unasemaje mzee"Kuana kuna dada mmoja katika mtandao wenu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Makabila mengine bwana!! Chukua hiyo

    Hata kule kwetu kibaha kulikuwa na mzee mmoja amabaye alikuwa na watoto ambao ukuunganisha majina yao una pata kitu kifuatacho CHUKU YENU YANINI NIUENI SIAMI
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wana JF Naomba mnipokee kwenye kiringe

    kwa nini mkubwa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wana JF Naomba mnipokee kwenye kiringe

    sija pata uzoefu bado na ni mgiani kenye huu uwanja hata kuutumia sijajua vizuli
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wana JF Naomba mnipokee kwenye kiringe

    :happy:
Back
Top Bottom