Je, unathibitisha kuwa uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo? Nimezungumzia teuzi za serikali sio za chama. Sijasema walioteuliwa ni chama fulani hasha nazungumzia teuzi za wahadhiri toka vyuoni kuwapa majukumu ya kiutendaji.
Prof Baregu na Kitila walikuwa ni wafuasi na yamkini viongozi kwenye chama hicho But the fact is Hawakuwa politically appointed kwenye utumishi wa umma
Ni mtazamo wangu dhaifu katika uzi huu ambao umenisukuma kuileta hoja hii katika jukwaa hili.
Imekuwa desturi sasa teuzi mbalimbali na hasa katika awamu hii ya tano zimelenga sana kuwachukua wahadhiri kutoka katika vyuo vikuu hususani chuo kikuu cha Dar es Salaam na kuwakabidhi majukumu...
Mheshimiwa Rais wa JMT umetupa kazi ngumu sana wapambe wako kila mara kujibu hoja na kutetea kauli na matendo yako. Kwa kipindi kifupi cha awamu hii umefanya mambo mengi kimaamuzi pasipo kufuata sheria wala taratibu, hali hii imepelekea utawala wako kushambuliwa kila kona.
Mashambulizi haya...
Ninapata wakati mgumu kuelewa ni nini hasa serikali ya awamu ya tano inataka kuwafanyia Watanzania.
Sijui kama mheshimiwa alikusudia kufikisha ujumbe huo kupitia ziara yake pale SUA au ni jambo ambalo lilikuja tu ghafla. Kimantiki, hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa mwanafunzi wa chuo kunyimwa...
Nimesikiliza kwa juu juu jana ufafanuzi wa spika wa bunge la Tanzania akijibu mwongozo wa mh. Lema (mb). Nijuavyo mimi, ufuataji wa taratibu za matibabu za rufaa si tu hutegemea aina ya ugonjwa umsumbuao mtu BALI hali ya mgonjwa kwa ugonjwa huo. Ni rahisi sana na ni utaratibu wa kawaida pale mtu...
Udhaifu wa serikali sio udhaifu wa chama kwani serikali haiongozwi kwa taratibu za chama. Hata kama ni kweli kwamba kiongozi mkuu wa nchi (rais) anatokana na chama fulani, si sahihi kujiaminisha kwamba makosa ya serikali ni makosa ya chama pia hasa inapokuja katika ngazi ya utendaji.
Ni wajibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.