Ndugu makamanda wapenda mabadiliko, mkutano wa mgombea wa CHADEMA ndugu Edward Ngoyai Lowasa kupitia UKAWA katika jiji la ARUSHA siku ya leo utakua LIVE kupitia kituo cha habari cha ITV kuanzia saa 4:00 ya jiioni. Pia ndugu KINGUNGE NGOMALE MWILU atakuepo pia. kaa mkao wa kula.
MKURUGENZI wa Manispaa ya Ilala, Claud Mpelembwa amezuia mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Urais, mgombea wa Chadema, Edward Lowassa kufanyika katika viwanja vya Jangwani kwa madai ya uwanja huo kuwa na matumizi mengine. Anaandika Sarafina Lidwino (endelea).
Pamoja na kuwepo kwa barua hiyo...
Jamani mimi mwenzenu leo nimechanganyikiwa baada ya kuhakiki taarifa zangu kupitia mtandao na kuambiwa
Samahani,Haujajiandikisha katika Daftari la Kudumu la wapiga kura, sasa nashindwa kuelewa kama nikweli au laa. naombeni msaada wenu kwa kunijulisha kama ni kweli au laa.
Ni li saa limoja tu limepita tangu apewe barua na chama chake cha CUF ya kupewa lidhaha ya kuchukua form ya kuwania ubumge jimbo la SEGEREA kwa tiketi ya UKAWA kupitia CUF.
Tulianza na mungu tupo na mungu na tuta maliza na mungu
Rushwa na vitisho vili tawala katika kampeni za kumpata mgombea atakae peperusha bendera ya ccm jimbo la ukonga na hatimaye jerry slaa kubuka kidedea kwa ngazi ya ubunge na Rucas kwa ngazi ya udiwani. hata hivyo imekua furaha kwa chadema wanao amini jery ni mtelemko kama ilivyo ada kwa kuburuzwa...
Ni zahili kabisa baadhi ya wana chadema wameshikwa na hofu juu ya DR. lakini niseme tu kua chadema haiongozwi na mtu mmoja bali na watu, maamuzi yote yanayo fanywa na chama au viongozi wa juu ni maamuzi sahihi kwa wakati huo. Niseme tu tuwe wapole katikaka hilo la DR. yatasemwa mengi sana kuhusu...
kumetokea hali ya sinto fahamu huko tarime baada ya kukamatwa kwa kura zaidi ya elfu 20000 zilizo onyesha jina la nyangwine, ni matumaini yangu kua ccm inaelekea kudondoka katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu kutoka na kutojiamini na wanachama wao. Ni jambo lakushangaza katika jamii kwa watia nia...
Mugisher
Hii nchi ikiwa na watu kadhaa wasio jielewa kama wewe hakuna kitakacho badilika, yani umeongea upuuzi mtupu hapo na sio kuonyesha ni jinsi kani ccm imeweza kutatua kero za wananchi. Badilika mjinga wewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.