Recent content by Njimbi Niggolo

  1. N

    JamiiForums Tanzania FT' Congo Brazzaville 1-1 Tanzania inaisaka nafasi ya kucheza Kombe la Dunia 2026, Septemba 5, 2025| Saa 1:00 Usiku| Alphonse Massemba

    Hiv nani huwa anamshauri kocha kumuita Samatta? Huyu jamaa aachwe acheze ndondo zake huko ulaya, ni aibu kinachoendelea hapa uwanjani.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mchafuko wa damu kwa mtoto

    Wana JF. Hii thread ni ya muda kidogo. Lakini kunq msemo wa "Old is Gold" Naomba kufahamu iwapo mhusika alipata suluhusho la changamoto iliyokua ikimpata mwanae. Mimi pia nina mwanangu wa umri wa mwaka mmoja. Amekua akipata homa mara kwa mara inayoambatana na dalili za kikohozi, na unakuta ni...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Bitumen carpet Mwanza

    Wana JF habari ya wakati huu. Nahitaji kununua bitumen carpet zile ambazo huchomelewa sehemu ambazo zinaweza vujisha maji hasa zege la floor slab. Naweza kupata wapi hiyo bidhaa kwa anayeuza kwa kipima (mfano kwa m) kwa hapa Mwanza.
Back
Top Bottom