Recent content by njiazote

  1. njiazote

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Natanguliza shukurani mkuu
  2. njiazote

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Mkuu Dragon naomba kukukumbusha hii
  3. njiazote

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Barikiwa sana mkuu
  4. njiazote

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Salaam Wasomi, Naomba kupata msaada wa case ya Tz ambayo imeongelea kinaga ubaga issue ya mens rea Natanguliza shukurani
  5. njiazote

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Natanguliza shukrani mkuu
  6. njiazote

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Asante sana mkuu dragon, nitashukuru pia utakapo nipa na hzo authorities. Uko sahihi kuwa judgment and decree haziwezi kuwa amended ila tuu zinaweza kufanyiwa marekebisho kadhaa kwakupeleka maombi mahakamani au mahakama inaweza ji move suo moto. Ila kutumia neno “amend” unaopoomba marekebisho...
  7. njiazote

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Habari Wasomi, nina jambo hapa, Hivi ikitoea third party hajawa mentioned kwenye title ya judgement and decree ni njia ipi nzuri yaku challenge hiyo mistake? Je nikwa kuomba amendment under S 96 of CPC au niweke kama moja ya grounds za appeal? Na kama wazo ni kuweka iwe kama moja ya ground za...
  8. njiazote

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Asante mkuu
  9. njiazote

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Ooh! Nisamehe bure, na nashukuru zaidi
  10. njiazote

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Blessed man dog, Asante sana
  11. njiazote

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Salaam wasomi, Naomba kupata msaada wa jambo hili, Nimepata copy judgement ambayo ime contain errors (majina ya parties yamekosewa) najua njia ya ku cure hyo nikupeleka application yakuomba hzo errors zirekebishwe . Sasa my concern ni kwenye time, je huu mda wakusikiliza hii application na...
  12. njiazote

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Msomi Dragoon, barikiwa sana
  13. njiazote

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Mkuu Dragoon, na wana jamvi kwa ujumla naomba kupewa urahisi wa kupata haya yafuatayo; 1. Authorities supporting leave of Judicial review 2. Authorities zinazo support kuwa "siting of irrelevant sections or bulk of sections in an application but if the right sections appears and are rightly...
  14. njiazote

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Asante sana Mkuu kwa hii paper, kwangu imekuja wakati muafaka kabisa, nashukuru sana
  15. njiazote

    JamiiForums Tanzania Vizuri kula na Ndugu zako

Back
Top Bottom