Kuna vitu unapaswa kuvielewa kabla huja viongelea. Makonda, Hapi na the likes of them wapo kimkakati sio kua ndio ASSET ya CCM inayotegemewa hao wapo kwa sababu maalum na mipango maalum naomba niishie hapo kwa watu hawa. Swala la kuteua wahadhili vyuoni kushika nyadhifa mbalimbali kama kweli...
Mkuu Pascal, ni ukweli usipingika na uliomchungu kuukubali kwa watu wasio na maono ya mbali. CCM bado kitaendelea kua chama bora pamoja na matatizo tunayo yaona sasa. CCM kuna ASSET ambazo zinaweza kulifikisha Taifa hili mbali sana zaidi ya Magufuli atakapo tuacha. Shida ulitengenezwa mfumo...
Siungi mkono hata kidogo kile walichofanya hawa wazee kwenye kuwasilisha malalamiko yao kwenye chama. Ila kwa kuwazalilisha hadharani tena na kiongozi wa ngazi za juu wa chama hawakustaili kufanyiwa hayo. Pamoja na mapungufu yao ya kiuongozi, walifanya mambo makubwa sana hasa mwaka 2015...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.