Recent content by njenga karume

  1. N

    Lowassa anauchu wa madaraka

    Edward Lowassa hatumchukii kama wengine wanavyodhani ila wasiwasi wetu ni jinsi anavyotaka uraisi. 1995 wakati kikwete anatangaza nia wakiwa marafiki na lowassa bado lowassa alidrirki kuchukua fomu huu ni usaliti... Mzee sitta( Mwenyekiti wa Kampeni ya Kiwete 1995) alifanya kazi kubwa sana...
  2. N

    Sakata la ESCROW: Pingamizi kwa Mawaziri wakuu kushika urais

    Sakata la escrow linadhirisha Mawaziri wakuu hawezi kuwa Maraisi Tanzania. Ukirudi nyuma utaona Mzee Msuya na Dr Salim pekee ndio walifika hatua ya 3 katika uchaguzi wa Ndani ya Chama. Mzee Malecela alijaribu hakufika mbali, Sumaye naye alikataliwa na Raisi wake. Lowassa amekataliwa toka 2008...
  3. N

    Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    KWANINI LOWASSA ANATUMIA FEDHA NYINGI KWENDA IKULU; "Mkimuona mtu anaitafuta Ikulu kwa pesa muogopeni kama Ukoma. Mimi nimekaa Ikulu miaka 25, ikulu sio mahali pa kukimbilia" Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nimeitafakari kauli hiyo siku nyingi sana, lakini leo nimeona niizungumzie kwa...
  4. N

    Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

    Kwa nini Nyerere kumkataa Lowasa? Kwa nini Hayati Baba wa Taifa alitumia kura yake ya veto kumkataa Lowasa kwa sababu iliyoitwa na inayoaminika mpaka sasa kuwa “Lowassa ana utajiri mkubwa usio na ufafanuzi alioupata kwa mda mfupi tu akiwa mkurugenzi wa AICC?” Ikumbukwe ni kuwa hoja...
  5. N

    Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

    1. 1995 Kikwete alivyoenda kuchukua fomu naye wakiwa angani kwenye ndege Lowassa naye akasema anataka kuchukua fomu. Haingii akilini kama si msaliti ni nini?pamoja na hayo JK alimsamehe baada ya usuluhishi chini ya Samwel Sitta. lakini akazua jipya Bwana Lowassa. 2. Akiwa waziri mkuu...
  6. N

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Katika wikii hii mgombea anayetajwa sana mi EL ..ila ni vema tukatumia kwa jina Team # L, ili kuleta maana thabiti katika kinyanganyiro mwakanii 2015, mimi binafsi naitasifiri kama team# LOOSERS Itakuwa na ambatatinisho la LOWASSA(L) kwanini mwandishi anasema hivy0 ni kuzingatia nukuu: ya...
Back
Top Bottom