Recent content by Nje ya chaki

  1. N

    JamiiForums Tanzania Waziri anapewa heshima za mwisho Karimjee, Rais yuko Marekani

    Kwa akili yako waziri akifa mambo yasiendelee mbona watanzania tunaonyesha uwezo wetu wa kufikilia unakua mdogo
  2. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli,Ubabe katika shughuli za Serikali umepitwa na wakati!

    Watanzania nani katuroga hatutaki Rais legelege tunataka Raisi kama Magufuli Kikwete alikua mpole imetosha Magufuli anatutosha
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ewe mtanzania usipoteze kura yako kumpa Lowassa

    Ewe mtanzania mwenzangu kati ya wagombea wawili wenye ushawishi Mzee mwenyewe Magufuli na mzee wa Mamnvi ila Magufuli anafaa 100% kwanza ana afya nzuri kwa kuthibitisha hilo amezunguka tangu kampeni zimeanza ila mzee wa mamnvi upepo unakatakata sana,pili kuna viongozi wengi waliopo ccm...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwa nini CHADEMA au UKAWA ni watu wa kuviziavizia mambo?

    Waungwana hamjambo,Mimi ni mtanzania wa kawaida ila nikijaribu kuangalia siasa zetu naona mbona vyama vya upinzani nchini vinavizia CCM waanze mambo ndio wao waje kupitia kwenye madhaifu au kukosoa najiuliza wakipewa nchi watakua wamejiandaa kutuongoza au wana sera makini za kuongoza au misingi...
Back
Top Bottom