Recent content by Njanja

  1. Njanja

    Richard Kasesela: Tulikubaliana na madiwani wa vyama vya upinzani wanaohamia CCM kuunga mkono juhudi

    Una moana gani...Kumar CHADEMA wakisema wanataka kuchukua nchi hawana akili...kweli nyie ni Manyumbu!
  2. Njanja

    Edward Lowassa: Nawatakia Waislamu Wote kheri ya Kuzaliwa Kiongozi wao

    Chan Chanzo cha taarifa hii ni nini au umeona uchape tu wewe mwenyewe... Haya Mkuu tumepokea salamu hizo.
  3. Njanja

    Kiongozi wa mbio za Mwenge amtaka Mkuu wa Polisi amweke ndani Daktari Mkuu Shinyanga

    . Huu ni uzushi mtupu tena wa kijinga wewe ndiyo kiazi mkubwa...ungepeleka huu Uzi wako jukwaa la tetesi...sisi wana Shinyanga hatujaona hilo wewe mkenya unaleta mambo yasiyokuhusu....katika miradi yote hakuna zahanati iliyofunguliwa sijui wewe umeyatoa wapi hayo.
  4. Njanja

    Kiongozi wa mbio za Mwenge amtaka Mkuu wa Polisi amweke ndani Daktari Mkuu Shinyanga

    Kwanza wewe siyo mtanzania kwa jina lako tu... Frank Wanjiru...shughulika na yahuko kwenu!
  5. Njanja

    Kiongozi wa mbio za Mwenge amtaka Mkuu wa Polisi amweke ndani Daktari Mkuu Shinyanga

    Hakuna kitu cha namna hiyo...sisi tuko Shinyanga mbona hatukuona kitu kama hicho? Acheni uzushi wa kijinga.
  6. Njanja

    Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

    Message send ndiyo nini Mkuu! Kama ingekuwa send si mngeungwa mkono?
  7. Njanja

    Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

    Woga wakubwa nyie... Hamkujua kuwa Siku zote nguvu ya umma haishindani na nguvu ya serikali .. Mmejitathimini na kuona hayo sasa hivi baada ya kuona kuwa mmeshindwa kuwadanganya watanzania...nendeni wenyewe muone!
  8. Njanja

    Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

    Amani ya nchi yoyote hulindwa kwa gharama yoyote. Mnatusababishia matumizi ya lazima kupambana na nyie wakati fedha hizo zingetymika kuboresha huduma za Jamii ...
  9. Njanja

    Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

    Waoga wakubwa Hawa...wanatishia ili kupima upepo..waingie tu barabarani ili wasaidie kufanya usafiri na makamanda wetu...kwani nao si hujiita makamanda?
  10. Njanja

    Dar: Polisi wavamia kikao cha ndani cha Kamati Kuu ya CHADEMA, Meza Kuu yaitwa Polisi na kuachiwa

    Wana matatizo gani Hawa... Hawajui maana ya kuzuiliwa.
  11. Njanja

    Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    Aweke mambo yote pamoja na fedha alizopata toka kwa Lowassa!
  12. Njanja

    Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    Mbowe ni jipu ndani ya CDM ila nyie sijui mmelogwa na nani...bila aibu unaandika kiongozi mkuu was upinzani...eti vyombo vya ndani na nje...amewauza na nyie bado mpo tu!
  13. Njanja

    Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    Aseme na hela za yule babu alichukua ngapi? ... Eti atazungumzia umeya...urais mlishindwa sasa umeya ya Jiji.
  14. Njanja

    Lowassa na Mbowe ni lini watajaza Fomu ya Maadili?

    Mkiulizwa maswala ya msingi mnajifanya wakali.. Hii inaonyesha mkichukua nchi mtaendeleza ufisadi wenu bila kuweka Mali zenu wazi...
  15. Njanja

    Wananchi hatuja waangusha ole wenu mtuangushe

    Haahahahahahaha! nimeipenda hii
Back
Top Bottom