Recent content by niyoung

  1. N

    TCRA kujenga kiwanda cha kutengeneza simu

    vijana mjiajiri watu wanatumia ujuzi wao wa kuzaliwa kujiajiri bado mnataka kuwapokonya kazi zao🙌🏽🙌🏽🙌🏽
  2. N

    Wanaopiga risasi wananchi hifadhini waonywa

    kwanini wakabidhiwe bunduki?
  3. N

    Rukwa, uhaba wa madarasa wafanya wanafunzi 564 kukosa nafasi

    wanafunzi 500 wa kidato cha 1 ni sawa na shule 2 za sekondari mana nakumbuka sis tulikua 350 pale turiani na tulikaa vzr tu mkondo A mpaka F hapa tuweni serious basi hv shule mbili za sekondari gharama yake ni kiasi gani?
  4. N

    Amwagiwa Maji ya moto kwa kudai talaka

    hold up🖐🏽 25 yrs 3 kids kwa stail hii lazima uchokwe mapema pole yake lakini
Back
Top Bottom