Hajasema ilkua ni sawa watu kuharibu mali, alisema serikali ichukue responsibility kwa yaliyotokea kwamba wamechangia kwa kiasi kikubwa . Lakini pia kuna njia za kudisperse watu sio kuua. Ndo maana aliuliza kwamba vyombo vya dola vilijipamga kwa risasi tu? Hakuna njia nyingine zilizokuepo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.