Recent content by NITUME NIKUTUMIKIE

  1. N

    JamiiForums Tanzania Je, Unauza nini ndani ya Jiji la Dodoma na unahitaji wateja?!

    Asante sana mkuu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9, nifanye biashara gani?

    MKUU HII NIMEIPENDA MNO
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba ushauri: Hii laki nane niliyonayo mfukoni nifanye biashara gani ili niweze kuizalisha?

    Ndiyo mkuu Kipindi Nipo Moro nilikua nanunua viatu vya kike dar natembeza kitaa Sasa saivi kwa huku Dom napaona mbali mno
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba ushauri: Hii laki nane niliyonayo mfukoni nifanye biashara gani ili niweze kuizalisha?

    Mimi NIPO Area A mkuu mtumba napajua nipe muongozo kuna biashara gani mkuu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nina millioni 1 na laki 3 nifanye biashara gani?

    Hii nzuri hii mkuu naichukua
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nina millioni 1 na laki 3 nifanye biashara gani?

    MKUU HAYA mashuka ni mtumba au special
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba ushauri: Hii laki nane niliyonayo mfukoni nifanye biashara gani ili niweze kuizalisha?

    Nina Tsh. 800,000 kama akiba imekaa tu, kodi ya pango ninapoishi nimelipa, chakula ndani nimenunua sasa wakuu nimebaki na hii Tsh. 800,000 nahitaji kuizalisha nifanye nini kwa hiki kidogo nilicho nacho? Location Dodoma: Nasoma comments naheshimu sana ushauri wenu wakuu.
Back
Top Bottom