Mimi binafsi ni mmoja kati ya wanaoamini kutoboa katika nchi za ughaibuni, watanzania wengi tunakosa fikra ya kuwa maisha ni popote, wengi hatufikirii kabisa kama kuna uwezekano wa kutoka na kwenda ughaibuni na badala yake huwa tunaona kama ni ndoto na kitu ambacho kamwe hakiwezekani...
Nakaribia kumaliza elimu ya degree na sitaki kupoteza karne 1 kusubiri ajira hapa bong nipeni ABC za kufika nchi za kiarabu nikafie huko.
Mimi ni wa kiume na kazi yoyote nafanya mradi tu iwe ya halali, umri miaka 24.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.