Recent content by Nishaii

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hivi vile vyeo kwa mfano ndo unaingia jeshini kwa fani, unaanza na nyota moja au bila cheo chochote? Na kama unaanza bila cheo vinakua vinapanda kila baada ya muda gani? au havina muda maalumu?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hakika mkuu! Tupe list ya vitabu kama itakupendeza walau viwili vitatu tuongeze maarifa kwa upande huo.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Noma na nusu[emoji1] Apo labda zile rank za juu na kwa maelekezo rasmi ya Amiri Jeshi Mkuu.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mkuu, kumbe majeshi wanaweza kuhama? Nikajua ukiingia mfano; PT au UT ndo mazima huwezi kuhama tena!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwanini Mkuu? Tupe ronja..
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwa hiyo mkuu kimsingi hapo unachoona kinasumbua ni Kipi kati ya hivyo; maslahi, mazingira sio rafiki au vyote kwa pamoja? Na vipi kada hizo zingine ukipangiwa sehemu nzuri ukitoka Kiwira kama shida ni mazingira sio rafiki?
  7. N

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nashukuru Mkuu kwa kutupa mwanga, hapa nimepata nguvu ya kuendelea na application. Kwa uliyoyasema nimebaki nafurahi na kushangaa pia, Ipi ni sababu kubwa ya watu kuchukulia poa hili jeshi la magereza na kuwaona kama silolote kumbe watu wanaishi good life tu, au ndo siri ya mtungi.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Naona mdau kama alivyoandika “Ndio waombe na connection zao,kisha baada ya kutoka kiwira na kupangwa vituoni kwao WATALETA MREJESHO.....” Maybe anazungumzia mazingira ya kazi utakayo pangiwa ya hizo kada nyengine ambazo anaamini eidha hazina maslahi au mazingira sio rafiki kupelekea kuto...
  9. N

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante sana kwa ufafanizi na ushauri pia. Umentia moyo maana nilianza kuwaza na kada yangu hii ya kilimo isije nikapelekwa ndichi huko af nikakutana na ukiritimba ninaousikia. Ila hapo mkuu naamini umezungumzia uzuri wa MT kwa wenye fani katika suala la mazingira ya ufanyaji kazi, ukimaanisha...
  10. N

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mkuu natamani kuapply ila naona wengine wanadiscourage sana kuapply kwenye baadhi ya fani tofauti na Afya, madereva na ushonaji. Kwamba MT sio sehemu nzuri kwa kada tofauti na hizo unaweza kujuta baadae. Naomba unitoe ukungu niliowekewa kwa hilo. Nawasilisha.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Tuelekeze Mkuu kuna balaa gani?? Ukiomba tofauti na kada hizo? Ili tujue kama tunaweza kuishi nalo au la! maana mtaani panachoma sio mchezo.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Dah kwamba Dereva wa MT ni mkubwa zaidi ya Injinia wa MT au?[emoji28]
Back
Top Bottom