Recent content by nis395

  1. nis395

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ni magumu. Yamenifika kooni naomba ushauri

    Pole sana ,,Kwa sasa mweshim kama Mama yako then pambana na maisha yako ..... heshima utaipata "baadae".
  2. nis395

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya upande mmoja

    Oooh pole sana , unapitia kipindi kigum kwakwel.Ushaur wangu jitahid kumwelew mpenz wako ili ujue wap Pana changamoto , ukigundua kuwa ana mpango wa kando bas huna budi kufanya maamuzi."sio Kila utakae okota nae kuni ndio utaota nae moto".MOVE ON!
  3. nis395

    JamiiForums Tanzania Alinipeleka nyumbani kwao kama hausigel sasa anaoa mke mwingine

    Pole snaa , fanya mpango wa kuondoka tuu! maana anaweza kukufanyia timbwili baya kwaajil tu ya kukuondosha hapo.
  4. nis395

    JamiiForums Tanzania KERO Trafiki Katushusha abiria kutoka kwenye Daladala pasipo kufuata utaratibu na kutuacha njiani

    Polen sana.Tafuta usafir endelea na safar !
Back
Top Bottom