kuna baadhi ya watu kweli hawafahi kuitwa viongozi hawana element za uongozi kumchanganya mtu akiwa anatoa hoja ni uoga wa kujenga hoja anasimama mtu kutoa taarifa ambayo haina mbele wala nyuma kweli hii inaeleweka......kama hawa ndio mawaziri tulionao na wanajiita wa sheria wanavunja katiba sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.