Ile hadithi yetu inaendelea.....
Walifanya hivyo huku wakiwa wamekumbatiana na baada muda kidogo wanakijiji nao walifika mahali hapo na kukuta kila kitu kimeshamalizika, walichoamua kukifanya waliwachukua mama na baba yule na kisha kuwapeleka mpaka kwa chifu ili kupata hukumu yao...
Email. nipenguvu@gmail.com
Instagram. nipenguvu
“Ee bwana wangu! Nisahidie mimi mja wako”. Ilisikika sauti ya hofu kutoka kwa mama mmoja akiwa kanisani huku akiwa anatetemeka.Siku hiyo ilikuwa siku ya jumapili katika kanisa moja lililopo kijijini, pembezoni kabisa mwa mji uliozungukwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.