Ulichosema ni sahihi kabisa, kama ng'ombe hana kichwa unategemea nini? haoni aendako, akili haipo ............ ni kweli hata sijui tunakoelekea, tunasubiri kujibamiza sehemu, na matokeo yake sijui yatakuwaje. Tuombe Mungu atunusuru na hali hii, pamoja na hivyo inabidi tutafute jinsi ya...