Recent content by Ninayondoto

  1. N

    JamiiForums Tanzania Bombardier and Government of Tanzania Sign Purchase Agreement for Two Q400 Turboprops

    Ndugu zangu siasa zisifanye tufike mahali pa kutoona hata mambo mema. Kama kuna mtu hataona wema katika ununuzi wa ndege hizi hakika hata mawe yatapaaza sauti. Bravo JPM.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Museveni appoints wife Janet Education Minister

    mwanafinzi ni nini?@
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la CHADEMA kupekua simu za watu ni aibu

    Nahis ulifaidika na zile hela za Zitto mlizokuwa mnatumiwa kwa MPESA na TIGO PESA ndo maana una hasira sana kwa kuumbuliwa. Kwenye intelijensia hayo mambo wakati mwingine ni lazima hata hao Wamarekani ambao kila siku mwenyekiti wenu Jakaya Kiwete anaenda kwao wanafanya udukuzi wa simu za watuuuu
  4. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawana Ikulu wanarusha chopa tatu angani kujenga chama, wakichukua nchi itakuwaje?

    Nyie ccm mbona mumemuweka Mwigulu Nchemba Hazina ili akaibe hela za kampeni? Mbona mmemuua Mgimwa baada ya kuwanyima fedha? Hela za wanainchi zimetumika kuwapa wanainchi elimu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Lets share the wisdom of Obasanjo in " before it is too late letter" to his president.

    Obasanjo's letter to Jonathan : BEFORE IT IS TOO LATE 23 Dec 2013 Font Size: a / A Olusegun Obasanjo Obasanjo's 18-page letter entitled "Before it is too late", dated December 2, 2013. BEFORE IT IS TOO LATE I am constrained to make this an open letter to you for a number of reasons...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    Mahakama zinazoongozwa na majaji tulioambiwa wengi hawakuwa na sifa, waliochaguliwa na mwenyekiti WA CCM, wanasikiliza shauri la kibaraka wa CCM dhihi ya chama na wakili mwiba kwa CCM unategemeea jaji atatoa uamuzi gani?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    Mahakama zinazoongozwa na majaji tulioambiwa wengi hawakuwa na sifa, waliochaguliwa na mwenyekiti WA CCM, wanasikiliza shauri la kibaraka wa CCM dhihi ya chama na wakili mwiba kwa CCM unategemeea maji ataamua nini?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mwenyekiti wa Chadema nchini Marekani

    Na wewe rekebisha sio "sio hata kitambua" ni "hata kutambua" UNATAKA UGOMVI WA MAWE WAKATI UKO NYUMBA YA VIOO
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nape anza kuangalia dignity yako katika jamii na historia ya Tanzania!

    Jamani Nape .. Tangu lini haramu ikawa halali kwa sababu imefanywa mara nyingi sana na watu wengi sana? Anyway tusikulaumu sana vyeo vyenyewe mnapewa kwa hisani na heshima za wazee wenu sasa unafikiri weledi katika vyeo husika itatoka wapi? Sintoshangaa na Ninayo ndoto kuwa katibu mwenezi wa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania CCM imeshaanza kujitoa uraia pacha kauli ya Kikwete Califolia

    Hoja Hazina nguvu na unamlaumu KIKWETE bila mantiki 1.Kwani ukipeleka ombi mtu akikwambia anashughulikia then baada ya kushughulikiwa akakwambia jibu ni NO atakuwa amekosea?(kushughulikia haimaanishi ni YES) 2. kwanza sio watanzania wa nje maana kama wanataka uraia pacha that means wana uraia...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba achaguliwa kuwa m/kiti wa Vyama vya Ukombozi kusini mwa Afrika

    Tuache kupeana sifa za kipuuzi hakuna cha maana hapo
  12. N

    JamiiForums Tanzania Prof. Shivji aukosoa Mchakato wa Katiba Mpya, aliponda Bunge la Katiba

    Mie naona katika hili Shivji hayuko objective,kwanza anaonyesha kuwa ana hofu ya serikali 3, lakini pia anajikanganya anaposema muungano usiangaliwe kwa kigezo cha idadi ya serikali papo hapo anasema alipoombwa kutoa ushauri kwenye Baraza la Wawakilishi alipendekeza muundo wa serikali 2. Hoja...
  13. N

    JamiiForums Tanzania JK afanya mabadiliko ya ghafla kwa Naibu Katibu Mkuu wa wizara

    Yaaa umewalipa wengine mfano ni huyu sifuni Mchome ambaye alichakachua ile ripoti ya chanzo cha kufeli sana wanafunzi wa kidato cha nne 2012.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA - Mbeya

    Muungano wa serikali tatu unawezekana wasiotaka wajinyonge
Back
Top Bottom