Recent content by Ninadj

  1. N

    JamiiForums Tanzania Bibi na bwana

    Wapenzi wakiwa katika harakati ya kula chakula cha usiku,jamaa akapata swali hili; Bwana:honey hivi kabla yangu ulikuwa na wanaume wangapi?Demu kimya jamaa akauliza mara ya pili,demu bado kakomaa vile vile,jamaa akauliza mara ya tatu, demu bado akawa kimya.jamaa akawaka "Honey una nidharau...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Binti atoweka kijijini

    Binti aliyetoroka kijijini kwao arejea baada ya miaka kumi; Baba:We mtoto ulipotelea wapi,unajua ulimtesa sana mama yako? Binti:Nilikuwa nafanya kazi ya umalaya Marekani Baba:Mshenzi mkubwa we,umetutia aibu wazazi wako,toka na usikanyage tena hapa Binti:Sawa baba ila kabla...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mume na mke Bar

    Mm sio kaka plz
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Ndani

    Mme alikuwa amekaa na mkewe kitandani baada ya kazi ngumu kumalizika,Mkewe akamwambia ahsante mme wangu kwa penzi tamu,mume akajibu "SI WEWE MKE WANGU UNAYENISIFIA ,WATU WENGI TU WANANISIFIA"Je ingekuwa wewe ungechukua hatua gani?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Sitamuibia mwalimu tena

    "Sitamuibia Mwalimu tena" Ni kauli iliyotolewa na mwizi baada ya kuiba wallet ya Mwalimu na kukuta yafuatayo:- 1. Majina ya wapiga kelele darasani 2. Majina ya waliochelewa namba 3. Majina ya watoto waliokopa ubuyu 4. Orodha ya vitu alivyokopa dukani 5. Kadi za michango ya harusi 6. Kalamu...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hellow!mie mgeni jamani

    ahsante mno,jinsia yangu ni mke
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mume na mke Bar

    Jamaa alikwenda Bar na mke wake wa ndoa,wakakaa kwenye viti, wakati wanasubiri vinywaji akapita binti mmoja anayejiuza akamsogelea yule mke wa jamaa akamnong'oneza " AKULIPE KABISA NI MGUMU KULIPA HUYOO!!......
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hellow!mie mgeni jamani

    Hellow members! mie mgeni nawaomba mnipokee tafadhali:A S kiss:
Back
Top Bottom