Hakuna kitabu kwenye bibilia kimeandikwa maria alipaizwa.na mafundisho ya katoliki yanasema alikufa lakini mwili wake ulipotea kwabla ya maazishi.kwenyebibilia watu wawil tu ndio walio paizwa wakiwa hai ni enoko na eliya tu.
Story yako imenikumbusha 2014nilipelekwa kutambulishwa mama mkwe akanikataa kisa namichiriz ya mikono na kijana wake akashikilia mama alichosema tukaachana.
nililia nilijilaumu nilipaka madawa ya kutoa michiriz lakin mwisho wa yote nilikumbuka furaha yangu ipo kwa Mungu kwa wakati wake atanipa...
Heshima kwenu wakuu
Nina ujauzito wiki 23 na niujauzito wa kwanza,toka nimeshika ujauzito mume wangu amebadilika sana amekua na hasira na kisirani kupita kiasi,hapendi kuoga anaweza kaa siku tatu mpaka nimseme sana ndio anaoga,hatushirikiani tena kama mwanzo nikijaribu kuongea nae anakasirika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.