Recent content by nimuchu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya LUKU

    Pole ndugu, kama ni waungwana watakuelewa tu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Lifahamu kiundani zao la Nyanya chungu (Ngogwe) na jinsi ya kulilima

    MCHARO umekuwa mtaamu ! Asante kwa maelekezo yako na Mungu wa Mbinguni akubariki
  3. N

    JamiiForums Tanzania Pata dagaa safi wa Mwanza waliokaangwa.

  4. N

    JamiiForums Tanzania Niletee kichwa upate mshiko.

    Rekebisha kichwa cha habari, huenda watu wanadhani unataka kichwa cha mtu au albino
  5. N

    JamiiForums Tanzania Pata dagaa safi wa Mwanza waliokaangwa.

    Bado una uwezo wa kunyambua bei kufuata kg kwa kuwa lazima ufahamu umetumia gharama kiasi gani kwa kg na hiyo ndio inayokupelekea kupata bei ya hiyo parking
  6. N

    JamiiForums Tanzania Pata dagaa safi wa Mwanza waliokaangwa.

    Ubungo sehemu gani au stendi ?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya picha nzuri nitafute

    Upatapo kazi za kufanya usisahau kutoa mzaliwa wa kwanza ktk kazi yako pia fungu la kumi ( ZAKA )
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya picha nzuri nitafute

    Pesa na Dhahabu ni mali ya BW ( Mungu ) Unaweza kufanya kazi ya mamilioni bado usifanikiwe na ukafanya kazi ya mamia na Mungu akakubariki. Kipaji alichonacho huyu jamii ni Mungu kampa ili akitumie kwa sifa na utukufu wake. Afanye kazi kwa bei atakayoona inambariki na isiwe kwa tamaa. Samahani...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Pata dagaa safi wa Mwanza waliokaangwa.

    Inapendeza ila hujakamilisha tangazo lako: mfano => huo ujazo ni wa namna gani ( kg )ngapi, bei gani, umetumia mafuta gani kuwakaanga na wamekaangwa baada ya kuvuliwa au walikaushwa kwanza?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Fursa: Nufaika kupitia simu yako ya mkononi

    Weka hadharani basi ili atakaevutiwa ajiunge
  11. N

    JamiiForums Tanzania Fursa: Nufaika kupitia simu yako ya mkononi

    Hayo ni maswala ya Zantel km sikosei, biashara ya mtandao km wafanyavyo makampuni ya GNLD na FOREVER
  12. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la kuku wa kienyeji kwa jumla na reja reja:

    Naona labda watakuwa wameishanunuliwa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la kuku wa kienyeji kwa jumla na reja reja:

    Habari yako ndugu, hao kuku wana uzito wa kg ngapi kwa kuku? Weka picha pia kama inawezekana! Mayai kwa ajili ya kutotolesha unayo na unauzaje kwa tray?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Nimeiona ndugu yangu. Ubarikiwe
  15. N

    JamiiForums Tanzania Fertilized Eggs za KARI

    Ndio hivyo vipi? Sijaelewa! Ni kuku au ni nini?
Back
Top Bottom