Recent content by NIMPENDENANI

  1. NIMPENDENANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakutana na vituko kazini ila kwa hiki cha jana ngoja niseme tu

    Dr, nna wasiwasi na vyeti vyako.
  2. NIMPENDENANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeolewa ila huyu mkaka mbaya sana

    Unavyooona wewe sawa basi na sie tunaona sawa,manake si kwakutuvuruga huko.
  3. NIMPENDENANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?

    Bwana wewe usisahau hao wanawake ni Mama zako,ni Dada zako,ni mkeo, ni mwanao sasa ebu kwanza chuja au ongea lililo kutokea ili tukusaidie japo mawazo.
  4. NIMPENDENANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda wanaume Umri mdogo lakini siwapati. Nifanyaje?

    Anataka tafran .
  5. NIMPENDENANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke usimnyime sana haki yake ya mapigo ila mpe ukiwa huna hasira

    Basi haya.
  6. NIMPENDENANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda wanaume Umri mdogo lakini siwapati. Nifanyaje?

    Lol una tafuta stress isokua ya lazima, ivi huyo kijana mdogo hasa mnaongea nini cha mana? mwenyezi mungu asinijaalie hata kwenye ndoto wasinijie hawa waramba midomo, tulia tuu na mzee mwenzio lol mbona 40yrs sio uzee hapo ndio unaweza kujifaragua na age mate wako.
  7. NIMPENDENANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nimuambie mke wangu kama nina mtoto nje ya ndoa?

    Ivi wakati ule una zini hukujisikia vibaya wakati umesema hamkua na migogoro kama unavyosema,au uliamua tuu kutaka kuonja,pole ila result yake sio nzuri sana muombe sana mwenyezi mungu ampe mkeo subra na uwezo wa kuhimili kwani sio rahisi kujua hilo hasa mtu akiwa ana kuamini anakuheshimu.
  8. NIMPENDENANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Home boy kampa mimba shemeji yake

    Huyo mwanamke nae mtu analishwa na mumeo amewekwa na mumeo wakazi gani huyo kujishusha hadhi yakoo bure.
  9. NIMPENDENANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mwanamke wa JF kibiashara, ni Mzuri ile mbaya

    Basi Haya.
  10. NIMPENDENANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ma bank teller

    Mbona unataka kumvunjia rizki mtoto wa mwenzio? hiyo ni kazi kama kazi nyengine,tabia ya mtu na malezi ndio ulitakiwa ujue zaidi kazi yake haiusiani na tabia yake.
  11. NIMPENDENANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa nimebambikizwa au nimeibiwa mtoto?

    Mkuu nikuulize tafadhali, baada ya yoooote hayo bado unadhani una mtoto hapo? au kwani huna uwezo wakupata wengine? Mwanake asiku stress kwa mtoto kama alitaka mbegu umeshampa umejitahidi kujisogeza amegoma kwa sababu anazozijua yeye,kwa ufupi umejitahidi songe mbele mkuu yeye ata ji sort.
  12. NIMPENDENANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu wakianza kupata mafanikio au dalili ya mafanikio wanakua na dharau

    Kupata hela ukiwa mtu mzima nako pia kuna changia,
  13. NIMPENDENANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada Dawa ya kuzuia kujampa

    Apana ikizidi tena ni mno au kama yeye ndio muhusika wa sababu ya hayo mashuzi sawa.
  14. NIMPENDENANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada Dawa ya kuzuia kujampa

    Mkuu SAMAHANI kwanza simaanish kwa ubaya, kuna mchezo wowo mbaya unamfanyia au huko alikutoka au amejifungua hivi karibuni?
  15. NIMPENDENANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada Dawa ya kuzuia kujampa

    Mmmh si kwa mishuzi hiyo mpaka mwenzio kasema ujue yameshamchosha.lol
Back
Top Bottom