Mkuu logic iliyotumika hapo sijaielewa ...ila kama we ni trader WA mda utagundua kazingua. .....just tell me uko na pair gani Ili nikuscreen shot the clear timing na mda sahihi WA kutrade....then utachek if it make sense or not...just for helping each other.
Sorry bro...ila Iko ivi Kila candle moja ya masaa 4 ni part yaa session labda London,newyork au Tokyo,so ukishajua direction unayotaka kutrade...make sure masaa 4ya candle lazima yaaabsorb order za session zote zilizoagainst na ww....kwa kutumia volume.....baada ya hapo kunakua hakuna resistance...
Leo nimeona nisaidie baadhi ya trader wenzangu ambazo tunastrugle katika level tofauti tofauti...ambao wanastrugle kutime market na kukaa mda mrefu kwenye screen kwa kuogopa kumiss trade.
Kuwa professional trader wanatric ya resistance clearing na kucalcurate time Ili kuwa accurate 70% na...
Baada ya kuangaika Sana kujifunza kutrade niliamua kusoma kwa kulipia kwa jamaa fulan wanaitwa urban forex. Baada kuelewa kutrade nikagundua kitu.
Watu wengi wanaknowlege nzuri na strategy zao ziko vizuri. Kinachowashinda ni kwamba hazipo structure au hazipangiliwa kuanzia kwenye kuchagua pea...
Ishu kubwa inayowashinda watu wengi kweny forex huzani ndo njia nyepesi ya kutoka kimaisha,wanasahau kuwa trading ni skills kama skills zingine.
Kama mtu anatumia miaka mitatu kupata degree aje alipwe laki 7 kwanini mtu awaze ataingia kwenye forex mwezi 1 uanze kupata mamilion....inaitaji...
Kitu cha muhimu zaid ni trade & money management,unaweza ukawa na uelewa mdogo sana wa forex market lakin ukawa na skills ya kukontrol risk na money management still utapata pesa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.