Recent content by Nimekubari

  1. Nimekubari

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Ni kweli majini hukaa chooni? Na ni kwanini ni viumbe wasionekana kwa macho ya kawaida? Je kuna ukweli wowote kuhus watu kufuga majini? Na kama wanafuga ni yanini?
  2. Nimekubari

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mkuu nimekukubari kwa post zako, uko vizuri sana. Lkn Nina swali, uganga wa msumbiji na Tanzania upi mkali zaidi, maan kuna ndugu yangu mmoja aliwah twende msumbiji kwa ajili ya kinga, Je ni kweli msumbiji wako juu?
  3. Nimekubari

    House4Sale Nyumba Inauzwa

    Nyumba ina vyumba 3 vya kulala na kimoja ni master bedroom, sebule na sehemu ya kulia chakula, jiko, choo cha Jumuiya, Maji na umeme vipo, tiles, gypsum board, fensi, parking ya gari ndani. Nyumba iko Chamazi, iko katika mazingira mazuri na tulivu. Bei milioni 50. Kwa mhitaji ni pm au piga...
Back
Top Bottom