Recent content by nimebadika juzi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

    kuna mihimili mitatu ya dola (serikali )ambayo inaundwa na a)rais b)bunge c)mahakama hujaelewa wapi ?....hakuna muhimili unaoitwa serikali
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Ufipa, Makao Makuu yahamia Mikocheni kinyemela

    Mbunge wa Nzega Mjini (CCM), Hussein Bashe, amekosoa mpango wa utoaji elimu bure, unaoendeshwa na serikali ya chama chake chini ya Rais Magufuli. “Kama nchi tuko kwenye wakati mgumu, Si dhambi kukiri tulifanya kosa ktk kuutekeleza mfumo huu na hatujui tunataka kujenga taifa la namna gani kwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    kwan waliokua wanaingiza ni kina nani kuna watu ilikua biashara yao hiyo na wapo serikalin ngj tuone
  4. N

    JamiiForums Tanzania TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    nilijipanga kuanza kuona point za lissu,mnyika,zitto ,mdee,waitara juakali mbowe na wengine wa upinzan lakin habr itachujwa watanipa za vilaza wao shame on serikali
  5. N

    JamiiForums Tanzania TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    we jamaa mbn huelewi umemsikiliza vizur au ni mahaba hata penye ubovu?unakurupuka kama serikal yako
  6. N

    JamiiForums Tanzania TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    hujaelewa umekurupuka acha ukichaa unadhan bunge peke yake ndio linamfanya mtu ashindwe kufanya kazi huna unachojua
  7. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

    lowasssa ni shidaaaaaah nimekua mweupe kiroho safi NA BADO MACCM MTANYOOKA TU
  8. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    napata raha sana haya mambo
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    ivi unaweza kumsema vibaya rais pindi akiwa madarakani ndio mana hata leo ameshindwa kumsema moja kwa moja amebali kusema mamlaka ya juu ndio uelewe hivyo acha unoko elewa haraka uclete mahaba
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    id amin ni tofauti na lowasa....kama chama chote tungekichukua thread yako ingekua na mashiko kwasababu id amin ndio tatizo lenyewe na pale nyerere alipigana nae c waganda non sense
  11. N

    JamiiForums Tanzania Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

    lowasa angeenda act maccm yangekubali lakin zitto hana mtaji wa watu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa sio wa kuamini wakichukua nchi watakuhukumu kama Saif A l-Islam

    unaumwa nn nikupe dawa lopolopo sana
  13. N

    JamiiForums Tanzania Maccm bana tulieni dawa iingie msiweweseke

    Maccm bana threads zote ni LOWASA mlitumwa mkate jina tulieni dawa izame vizur ndio muwe vichaa zaidi ...CCM MFUMO MBOVU MLIIPELEKA NCHI KIMAZOEA VIGOGO WANAWEWESEKA...MWAKA HUU MNALO MMEZOEA MAIGIZO YA BONGO MUVI ...MSIPOPOME
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa kesi ya ufisadi wa Richmond wakamilika, wahusika kupelekwa mahakamani

    ni hatari sana nchi itafika pabaya
Back
Top Bottom