Issue ya paypal tanzania inabidi uwe makini saana kama unafanya seriously business, maana unaweza kutumia janja janja mwisho wa siku ukapigwa pin na kibunda chako.
Nilifanya utafiti kwa zaidi ya miezi 6, kuhusu paypal, nilijaribu kila njia ambayo niliambiwa.
Lakini niliambulia 0, nilichofanya...