Recent content by Nikkita

  1. Nikkita

    JamiiForums Tanzania Misimamo Ya Rais Samia Ni Zaidi ya Mwalimu Nyerere. Hakuna cha ICC wala Marekani wala Umoja wa Ulaya . Wote Wametimua Mbio na Kuanza Kuinua Mikono Juu

    Hakuna mwashambwa mnyakyusa mkuu ilo mwa kwa nyanda za juu kusini linatumika na makabila karibia 80% huyo sio wa kwetu nawasilisha
  2. Nikkita

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru Kakulwa peleka vijana wote baharini waachane na bodaboda. Mpaka muambiwe na nani?

    Mnavyoongea hiv kama hamuijui serikali yenu 😄 sio samaki tu hata kwenye madini tunaweza fanya makubwa ila kila kitu kinaanza kunyooka juu Kuna muda chadomo walisema baadhi ya umasikin unaletwa na watawala mnaon ni siasa wakati hata hapa kwenye andiko siasa inahusika kiufupi wakubwa hawajali...
  3. Nikkita

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo na ujumbe wa wafanyabiashara wa Sweden, asisitiza ushirika

    😁😁😁 haya majamaa ukiyafikiria vizur huwez pata majibu
  4. Nikkita

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Dodoma Adai Kuchomewa Duka la Sh Milioni 120, Amtuhumu Mtumishi wa CCM na kumtishia kupotezwa

    Umemjibu vizur hapa ila uliposema aache atazipata nyingine utampa ? Msichukulie maisha mepesi aisee
  5. Nikkita

    JamiiForums Tanzania Ua limenyauka

    Waliua hadi watu wasio na hatia
  6. Nikkita

    JamiiForums Tanzania Ua limenyauka

    😁😁 Labda tumuite yule nan sigara wa bakita
  7. Nikkita

    JamiiForums Tanzania Weledi wa Jeshi la Wananchi JWTZ unapimwaje?

    Sidhan kama kinyeo chako kina seald
  8. Nikkita

    JamiiForums Tanzania Wamasai wenye rasta walitulizwa na Masai rapa, mwenda pole hajikwai, alijikwaa baada ya kutegwa na jiwe kubwa, hakunyanyuka tena!

    Ni aibuu mnoo ndomana huwa siskilizag porojo zao za uzalendo uzalendo bora niskilize bei za pembejeo nijue naanzia wapi msimu wa kilimo
  9. Nikkita

    JamiiForums Tanzania Nchimbi is not a cadaverous fish drifting pro forma with every current. He is piscis vivus

    😅😅 Ushatoa duku duku
  10. Nikkita

    JamiiForums Tanzania CCM mtandao watajuta milele kuruhusu Magufuli awe Rais wa Tanzania

    Kama wale wa kimara walioguswa na bara bara wakati wanauziwa waliambiwa kbs na wauzaji kuwa hapa mda wowote mambo yataenda kombo kwa wajanja walikaa mguu njee mguu ndani hawakuamin sababu ma rais waliopita walikuwa hawapo active kutekeleza miradi kikubwa so waliona porojo lkn Mzee alifanya kweli...
  11. Nikkita

    JamiiForums Tanzania CCM mtandao watajuta milele kuruhusu Magufuli awe Rais wa Tanzania

    Lin uliisikia watu wakilia RIP mwinyi toka kuanza kwa Nyerere mpk Sasa katika watu wanaokumbikwa zaid ukimtoa Nyerere ni magu unaweza dhurula dar nzima kuanzia kwenye mabasi office za company usikute hata pic ya mwinyi si kwa ubaya ila ngumu kukosa pic ya Nyerere na magufuli sehemu izo
  12. Nikkita

    JamiiForums Tanzania CCM mtandao watajuta milele kuruhusu Magufuli awe Rais wa Tanzania

    Si upinzani wote upo kwajil ya kuleta fikra chanya ndani ya nchi na Yale wanayosema wapinzani alishaanza kuyatekeleza kama lissu akikubali baada ya magu kufariki na kumtetea kwa Yale aliyoyafanya wewe ni Nan mkuu ulipinge hili ??au hukuona Ile video? magu sio malaika kwamba afanye kila...
Back
Top Bottom