Recent content by Nikhil

  1. Nikhil

    Je, leseni ya Ufamasia ni kigezo cha mimi kukosa mshahara wa Serikali?

    Habari wakuu. Nimeajiriwa January hii Serikali ni na TAMISEMI kama mteknolojia dawa.Ila leseni ndio niko kwenye mchakato wa kufuatilia najiuliza. Je, ni lazima niwe na leseni ili wanilipe vipi kama ni kigezo mbna wameniajiri. Asante NAWASILISHA
  2. Nikhil

    Ushauri: Nifanye nini nikikosa mshahara wa mwezi wa pili kutoka serikalini?

    ya kujikimu wamenipa sema ishu ni mshahara kwa nini wanabana hivo.pia unataka uniambie mkurugenzi hayajui hayo yote
  3. Nikhil

    Ushauri: Nifanye nini nikikosa mshahara wa mwezi wa pili kutoka serikalini?

    Sijakukatisha tamaa cha msingi endelea kukomaa na kusoma kwani HATA ukijiajiri bila Elimu ni kazi bure
  4. Nikhil

    Ushauri: Nifanye nini nikikosa mshahara wa mwezi wa pili kutoka serikalini?

    Unaweza pia kunishauri hapa maana HATA nikija TUCTA mtanishauri pia
  5. Nikhil

    Ushauri: Nifanye nini nikikosa mshahara wa mwezi wa pili kutoka serikalini?

    Kivip ni resign wakati Ajira zenyewe ngumu kupatkana mkuu
  6. Nikhil

    Ushauri: Nifanye nini nikikosa mshahara wa mwezi wa pili kutoka serikalini?

    Habari wakuu, Ni miezi mitatu yangu nimeajiiriwa serikali kama mtumishi wa kituo cha afya stahiki kama substituent allowance nilipata ila ukiisha huu mwezi wa 2 bila mshahara nitakuwa namalizia miezi mi nne. Nachohitaji ni ushauri wenu nichukue hatua gani kama mwezi huu nitakosa mshahara...
  7. Nikhil

    Ummy Mwalimu mbona tamko lako halitekelezwi?!

    Ikiwezekana bora kwenda home kusubiri sasa daah ngachoka mi
  8. Nikhil

    Ummy Mwalimu mbona tamko lako halitekelezwi?!

    Hizi ni za chura ASEE japokuwa hiki kilio kimefika
  9. Nikhil

    Ummy Mwalimu mbona tamko lako halitekelezwi?!

    UK I angle a Leo tar 29 mwisho wa mwez sioni tumaini lakuupata mshahara nikimuuliza Afisa Utumishi anasema usijali utapata mambo mazuri.ukimbana sana anasema mambo yako nje ya uwezo wangu .hivi kweli ni haki hiyo yakiutumishi tutalalamika hadi lini
  10. Nikhil

    Ummy Mwalimu mbona tamko lako halitekelezwi?!

    Kusema kweli kunaitajika nguvu ya ziada kwenye sekta za muhimu kama Elimu, na Afya wanafunzi wanakosa madawati,vitabu muhimu vya kusoma ilhali waalimu vijijini hawana nyumba za kuishi. Uku ukiangalia kuna bilioni moja imemwagwa kwa ajili ya kurudia uchaguzi Ivi Yatasemwa haya ,watu watalalamika...
  11. Nikhil

    Ummy Mwalimu mbona tamko lako halitekelezwi?!

    Wanajamvi poleni na majukumu.Mwishoni wa wiki iliyopita Waziri wa Afya aliwataka wakurugenzi wa halmashauri zote kuwapatia WATUMISHI wapya wa kada ya AFYA mishahara yao ambapo ni miezi mitatu mpaka sasa hawajalipwa na wengine hawajapewa stahiki zao. Swali ni je mpaka sasa hilo tamshi...
  12. Nikhil

    TAMISEMI msituumize watumishi wa umma kwa kuchelewesha mishahara

    Tatzo sio ccm tatizo ni serq za wewe Utumishi wa umma zifuatwe
Back
Top Bottom