Recent content by Nigrastratatract nerve

  1. Nigrastratatract nerve

    Huenda Bishop Gwajima kafilisika

    mbona hata Samia anategemea kodi zetu ili aishi
  2. Nigrastratatract nerve

    CCM jengeni Chuo kikuu Mwanza na Hospital kubwa yenye hadhi ya nyota tano muziite CCM MEDICAL UNIVERSITY and Teaching Hospitali

    Haya mabilioni ya shilingi zenu njoeni muwekeze Mwanza mjenge Hospital ya hadhi ya nyota tano hafu mjenge chuo kikuu kikubwa Sana
  3. Nigrastratatract nerve

    GE2025 Mpina: Kuna Mahoteli mengi na maghorofa mengi yamejengwa kwa wizi wa fedha za Serikali. Nikiapishwa yatakuwa mali ya serikali

    Mpina amesema kuna viongozi wengi Sana wa serikali wameiba vya kutosha hii nchi akiingia IKULU mali zote za serikali watazitapika mara moja mahoteli yao zitakuwa hospitali za umma
  4. Nigrastratatract nerve

    RC Mhita: Shinyanga imezalisha Tani 43 za madini safi

    Mbona umasikini wa shinyanga ndio umekisiri Sana
  5. Nigrastratatract nerve

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Hongera Dr Samia kwa ujasiri uliouonyesha Bahari imetulia kila kitu kipo shwari nchi na chama kwanza mengine baadaye ama kweli mzigo mzito hufikishwa na wanawake huyo mrithi wako physician ateue msaidizi mtulivu kama yeye asiye maarufu kama yeye bali mtendaji zaidi
  6. Nigrastratatract nerve

    Rais Samia atawabadilikia machawa, hawataamini

    Dr Samia atawabadilikia machawa hawataamini pale atakapotema Bungo dakika za mwishoni
  7. Nigrastratatract nerve

    Mtoto kurudishwa kwa sababu ya kukosa tsh 1500 na kujinyonga ni miongoni mwa matokeo ya uongozi legelege ndani ya CCM unaounda Serikali legelege

    Mwanafunzi wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya msingi Mnini iliyopo kata ya Uru Mashariki wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro anayefahamika kwa jina la Izack Mushi (12), amefariki dunia kwa madai kuwa amejinyonga kwa kamba muda mfupi baada ya mwalimu wake katika shule hiyo...
  8. Nigrastratatract nerve

    Mama Samia kwa nini unataka kuharibu taswira ya Chama kitachokuwepo vizazi na vizazi kwa ajili ya Mitano tena?

    CCM ITAKUWEPO MIAKA MINGI IJAYO TAMAA ZA MUDA MFUPI ZISIHARIBU TASWIRA YA CCM kuna hatari CCM ikakosa Heshima na nguvu iliyonayo kwa tamaa za muda mfupi za viongozi waliopewa dhamana wakashindwa kuheshimu desturi na utaratibu ndani ya Chama cha Mapinduzi Ccm inataka kudhoofishwa kwa makusudi...
  9. Nigrastratatract nerve

    Tetesi: Luhaga Mpina kuongea na Vyombo vya Habari

    mama wa watu mmemfanya panda wa madili yenu
  10. Nigrastratatract nerve

    Tetesi: Luhaga Mpina kuongea na Vyombo vya Habari

    ukweli ni kwamba Hapendwi sijawahi kuona binadamu asiyependwa kama Samia
  11. Nigrastratatract nerve

    Tetesi: Luhaga Mpina kuongea na Vyombo vya Habari

    Samia afuate utaratibu wa kutokugombea tena Urais
  12. Nigrastratatract nerve

    GE2025 Kumekucha! CCM yaitisha mkutano mkuu wa dharura kwa njia ya mtandao

    kukiwa Kuna mwelekeo wa uchaguzi mkuu mnamo tarehe 26/7/2025 Dr Emanuel Nchimbi ataachia ngazi
Back
Top Bottom