Recent content by NICO2018

  1. NICO2018

    Tanzania Aviation University College

    Binadamu bila siasa huwezi kuishi, Siasa hujenga barabara, mahospitali, mashule, HUnunua Ndege n.k Humu ndani tunapashana habari tu ni bora tusemezane maana watanzania tumezoea kulalamika badala ya kuchukua hatua tutashtukia dreamliner inaendeshwa na wakikuyu, wakamba, karenjini, maana majirani...
  2. NICO2018

    Tanzania Aviation University College

    Asaiv dreamliner ndo habari ya mjini bro..watu tulikua tunasoma zamani bila kujua kama tutapata kazi wapi, Lakin sasa mzee magu katutoa kimaso maso, Katuletea dude na hayo madude watanzania lazima tufanye kazi ndani yake na lingine linatua mwezi wa 11
  3. NICO2018

    Wanafunzi wa Tanzania Aviation University College (TAUC) tunapeta tu baada ya Dreamliner kutua.

    Kwasasa Imepungua Sanaa Ada kwani kuna kampeni wameanzisha pale chuoni ya kusaidia watu wenye kupenda kua marubani then hawana Uwezo...kwa kawaida kozi ya pilot million 60 mpka 40..Lakini jamaa wameshusha mfano mdogo wangu kaanza last month Kalipiwa milion 3 na kaanza ..analipa kidogo kidogo
  4. NICO2018

    Tanzania Aviation University College

    aaaaaa aha h raha sana tunapeta tu baada ya Dreamliner kutua. Mungu kasikia kilio cha wanafunzi tuliohitimu na nyumbani kwa kukosa kazi. Special thanks kwa Mkuu wa Chuo Cha Tanzania Aviation UNiversity College.
  5. NICO2018

    Wanafunzi wa Tanzania Aviation University College (TAUC) tunapeta tu baada ya Dreamliner kutua.

    Tanzania Aviation University College (TAUC) wanafunzi tulosoma apa tunapeta tu baada ya Dreamliner kutua. Mungu bariki tumepata kazi tonge linaingia mdomoni
Back
Top Bottom