hongera sana Nchemba sasa naona unaaminika kuliko hata vyombo vya usalama kiasi cha unayemuita mzalendo kukuletea hio video. Teh teh safi sana Mwigulu endelea kutudanganya watanzania
lukosi democrasia ni pana sana ikiwa na matawi kama mgawanyo wa madaraka, utawala bora, utawala wa sheria, uzalendo na mengine mengi na sio kufungua akaunti ya M-PESA ili utumiwe kitu kidogo. Wanafalsafa wakubwa kama Plato aliwahi kuwagawa watu kwenye makundi akianza na Golden, Silver na Iron...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.