Recent content by nicholaussixtus

  1. nicholaussixtus

    JamiiForums Tanzania Ijue Biomedical Engineering

    Je wajua? pamoja na kuwepo kwa madaktari wenye weredi katika dunia ya sasa ya kiteknolojia vifaa tiba vinaenda kuchukua nafasi kubwa katika upatikanaji wa tiba kwa karibia magonjwa yote! je, dunia imejiandaaje kwa hilo? ungana nami kujua ni kina nani wanajukumu la kutengeneza kuendesha na...
  2. nicholaussixtus

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya!??

    embu iseme
  3. nicholaussixtus

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya!??

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. nicholaussixtus

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya!??

    je!? yale malipo ya bima ya afya, iwapo muhusika atopata huduma kwa kutopata maradhi ndani ya kipindi husika. mfuko hufanya nini na hizo pesa!??? Nashauri mfuko kurudisha fedha za mwana mfuko endapo atozitumia kupata huduma.
  5. nicholaussixtus

    JamiiForums Tanzania Maoni juu ya kilichotokea kwenye matokeo ya Shule ya Sheria (Law School of Tanzania)

    Habari Ndugu wadau, Napenda kutoa maoni yangu juu ya kile kilichotokea katika shule ya sheria Nianze kwa kuuliza je, mfumo wetu wa elimu upo vizuri!? Je, mfumo wa elimu unaruhusu mchakato wa namna gani pindi tunapoomba nafasi za elimu katika vyuo vikuu? MAONI 01. Mfumo haumuandai mwanafunzi...
  6. nicholaussixtus

    JamiiForums Tanzania SoC02 Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Karibu Sana kiongozi.
  7. nicholaussixtus

    JamiiForums Tanzania SoC02 Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Karibu Sana☺️
  8. nicholaussixtus

    JamiiForums Tanzania SoC02 Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Wadau mtu yoyote mwenye swali Kwa makala hii
  9. nicholaussixtus

    JamiiForums Tanzania SoC02 Saratani ya Shingo ya Kizazi

    MAANA Saratani ya shingo ya kizazi ni ile inayoanzia sehemu ya mwisho ya nyumba ya kizazi , pale sehemu hiyo inapoungana na sehemu ya juu ya uke. JE, NINI CHANZO CHA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI? Virusi vya papiloma ndio chanzo cha saratani ya shigo ya kizazi Picha 01. Sehemu ya shingo ya...
Back
Top Bottom