Recent content by ni_mtazamo_tu

  1. N

    Nahitaji kiwanja Kijichi

    vipo kibada mradi mpya ule wa serikali 0786 252026 ninavyo viwili kama uko interested
  2. N

    viwanja kigamboni

    yote majaaliwa kaka, huwezi jua lini utapata kwa Mungu hilo ni dogo sana
  3. N

    viwanja kigamboni

    habari zenu. nauza viwanja vyangu vilivyopo kigamboni eneo la kibada wilaya ya temeke. viwanja vyote viwili vipo block 19 kibada. kiwanja cha kwanza ni kiwanja namba 395 kina 1002 square metres na id ya kiwanja 226655. kiwanja hichi ni commercial na residential na kimelipiwa kila kitu na kina...
  4. N

    Nauza viwanja Kigamboni

  5. N

    Viwanja Kigamboni

    ndugu hii ni biashara wala sio malumbano ya hoja wala ugomvi. ni maridhiano ya pande mbili. mm ndio mwenye mali na wala si dalali, namba nimeweka hapo tunaweza kuongea biashara kwa kukubaliana bei na sio kupangiana bei ya kuuza. kama unaamini hio ndio current price basi jaribu kutafuta sehemu...
  6. N

    Viwanja Kigamboni

    habari zenu. nauza viwanja vyangu vilivyopo kigamboni eneo la kibada wilaya ya temeke. viwanja vyote viwili vipo block 19 kibada. kiwanja cha kwanza ni kiwanja namba 395 kina 1002 square metres na id ya kiwanja 226655. kiwanja hichi ni commercial na residential na kimelipiwa kila kitu na kina...
  7. N

    Kwanja Morogoro kinauzwa

    eneo lilipo kiwanja ni eneo zuri na tulivu ni karibu na milima , ni kama vile mikocheni au kigamboni. plus utakuwa karibu na kiwanja cha kikwete kama mita 400 kutoka hapo. eneo ni residential na commercial. kwa wenye kuijua morogoro watakuwa wanafahamu thamani ya eneo hilo
  8. N

    Kwanja Morogoro kinauzwa

    Habari zenu, Nauza kiwanja namba 513 kilichopo Morogoro eneo la kilakala Block A. Dhumuni la kuuza ni mahitaji ya pesa kwa ajili ya shughuli zangu za biashara. Kiwanja nilinunua mwaka 2012 na kina karatasi zote zinazothibitisha uhalali wa eneo hilo, kiwanja hichi kimepimwa na nilikuwa kwenye...
  9. N

    Kiwanja morogoro

  10. N

    Mambo Tunayofanya Majumbani na Hayampendezi Mungu

    samahani hivi utakuwa hujaolewa bado, au tayari washakuwahi? Maana kuna watu ukiwasikia tu they match with the kind of personality you are looking for, nusu nisahau kusema ahsante kwa mawaidha. karucee aiseee! Kama nakuona vile
  11. N

    Jinsi ya kununua vitu eBay

    kwa yoyote anaetaka kununua vitu online, awasiliane nami kwenye 0688 941 186, ni serious. Karibuni tutakuwa na ofisi yetu hapa mjini, ni wa kweli na waaminifu, na nakuhakikishia kuwa hatutozi gharama zaidi ya unayoiona hapo online. Sisi tuna charges zetu ambazo zinaanzia shilingi elfu kumi, so...
  12. N

    Natafuta frame/mlango wa kukodi

    heshima kwenu, natafuta frame/ mlango wa kukodi. Eneo la mjini dar es salaam. Ikiwa ni posta, akiba, mnazi mmoja, samora na kwingineko. Kwa ufupi sehemu ya mjini yenye movement, niko tayari kupangisha kwa kodi isiyozidi laki sita, ila kama nitapata eneo lenye kuridhisha zaidi naweza...
  13. N

    Natafuta frame/mlango wa kukodi

    heshima kwenu, natafuta frame/mlango wa kukodi. Eneo la mjini dar es salaam. Ikiwa ni posta, akiba, mnazi mmoja, samora na kwingineko. Kwa ufupi sehemu ya mjini yenye movement, niko tayari kupangisha kwa kodi isiyozidi laki sita, ila kama nitapata eneo lenye kuridhisha zaidi naweza kuongeza...
  14. N

    honda cc 90 kwa laki tano na sabini na tano elfu

    habari zenu wana jamii, baada ya kupata usafiri mpya nimeamua kuuza pikipiki yangu aina ya honda cc90 nyekundu imetumika kiasi. Iko dar es salaam na bei yake ni laki 575,000. Kwa anayetaka kuiona awasiliane nami kwenye 0688941186
  15. N

    honda cc90 inauzwa

    habari zenu wana jamii, baada ya kupata usafiri mpya nimeamua kuuza pikipiki yangu aina ya honda cc90 nyekundu imetumika kiasi. Iko dar es salaam na bei yake ni laki sita. Kwa anayetaka kuiona awasiliane nami kwenye 0688941186
Back
Top Bottom