Recent content by ni ngumu

  1. ni ngumu

    Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

    Maza 200k ma michango ya harusi Baba hayupo Maza ana watoto wazito kunizidi mimi hakosi 800k kwa mwezi
  2. ni ngumu

    Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

    Mimi nimetokea chini hlf nina maamuzi magumu ukiona natoa hivyo ujue ndo uwezo wangu ukishuka nashusha na wala sijali.
  3. ni ngumu

    Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

    Maza 200k na michango ya harusi namchangia Anapokea pesa na kwa kaka zangu na dada zangu
  4. ni ngumu

    Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

    Ba mkwe mlevi tu nampa ai enjoy siku za uzee wake[emoji23][emoji23][emoji23] Ma mkwe ana biashara tyr
  5. ni ngumu

    Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

    Wale ni wazazi wako vile vile usiwe mbinafsi kaka. Kama uwezo upo usinunue gari ya million 100 wkati wakwe zako wanaganga njaa. Mimi natoa sababu ya uwezo halafu pili mke wangu amenisapoti Sana kipindi sina hela sioni sababu ya kuwa mbinafsi kwa wazazi wake
  6. ni ngumu

    Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

    Mama 200k na kumchangia kadi za harusi.Maza anapata vile vile support kwa wanae wengine hivyo kuingiza 800k kwa mwezi ni kawaida sana Baba hayupo Again hayo ni maisha yangu sasa hivi yakipanda napanda nao yakishuka nashuka nao
  7. ni ngumu

    Una lipi la kumshauri bwana harusi?

    Vizuri sana Ametumia akili kuchagua sio ub.oho.
  8. ni ngumu

    Demu wangu amepata kazi Casino. Je, nimruhusu afanye kazi hiyo?

    Kwa ujinga na ulimbukeni wa asili wa mwanamke hapo ndo ushampoteza ukikubali Hlf sio kwamba anaku heshimu sana huyo demu Mimi mke wangu ashawahi kuwa miss mkoa flani na keshawahi fanya modelling kipindi flani kwenye maisha . Alipata kazi ya ku promote products ambazo zinauzwa casino tu...
  9. ni ngumu

    Ushauri wa bure: Never share your nude pictures or videos by the pretext of love at any cost

    Wewe utakuwa bikra wewe Na wala huwajui wanaume Mwanaume hanaga upuuzi wa kupenda kweli hasa km unadate mwanaume kamili. Biblia haikukosea kumpa amri mwanaume ya mpende mkeo.Hamna kitu kigumu km mwanaume kupenda bila conditions hasa km unazungumzia mwanaume aliyekamilika kila idara. Upendo...
  10. ni ngumu

    Ushauri wa bure: Never share your nude pictures or videos by the pretext of love at any cost

    Kwahiyo sisi wanaume unatushauri tuoe bikra eeeee???
  11. ni ngumu

    Hivi Kuna haja ya kumwambia mpenzi wako kuwa upo off mood bila ya kumpa sababu yoyote ya msingi?

    Wewe tusingewezana Kwa mfano mimi nikitoka kazini nahitaji km 30dk za kutokuongea ongea na mtu yeyote hata na mke wangu. Kuna mda nahitaji kukaa mwenyewe tu bila kuongeleshwa. Sina sababu ila nipo off mood na sijisikii kuongea ongea Mwanzo wife alidhani namuigizia ila nilivyomuoa akagundua...
  12. ni ngumu

    Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

    200k-300k kwa mwezi Unga,mafuta,Gas,mchele juu yangu Ila kuna kipindi wakati namuoa sikuwa na uweZo huo hivyo nilikuwa natoa 150k na siongezi hata sh kumi plus unga,mchele,mafuta na gas. Mpe mkeo mahitaji kulingana na uchumi wako unavyokwenda. Awali ma mkwe nilikuwa nampa 50k na ba mkwe...
  13. ni ngumu

    Bei ya Mafuta kushuka kwa Shilingi 29, Mnaelewaje hapa?

    Hivi hizi mbwa zinataka kututesa hadi wenye vi baby woka[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
  14. ni ngumu

    Jinsi ninavotamani siku zirudi nyuma ili niyafute haya...

    Halafu kun mtu anashauri watu waoe tena anawalamizisha vijana kwa pupa Mwingine anasema ukioa malaya ndo anatulia Sasa huyu ukioa na anakumbuka historia yake yote hadi miboro ya wana na taste zake hahaha si itakuwa umepigwa na kitu kizito!!!! Vijana kimbelembele cha kuoa acheni
  15. ni ngumu

    Jinsi ninavotamani siku zirudi nyuma ili niyafute haya...

    Halafu kuna mtu anabisha umalaya sio asili ya mtu. Yaani wewe ulikuwa hujawahi kulala na mwanaume lakini una kaumalaya kakurithi kwa wazazi either mama au baba. Mungu akusaidie tu
Back
Top Bottom