Ndiyo maana amesema Wakati wa kusema umefika. Jambo lolote ni wakati tu. Muacheni aseme msimzibe mdomo.
Kwa mnavyotokwa mapovu wenyewe naamini mnajua kuna jambo limefichika hapo. Hata hajasema anachotaka kusema naona mnaanza kumshambulia !!!!!!!!!!!!!!!
Nimesoma nimekuelewa Ndugu Mallya
lakini ni lini utasema? pia kinachonitia mashaka ya unachotaka kusema ni kujitokeza kundi linalopinga wewe kusema. Hili kundi ni la nani? Liko chini ya nani? Wanataka unyamaze kwa faida za nani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.