Recent content by ni huyo mm

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nimwambie ukweli wife au niendelee kushikilia msimamo wangu?

    Wacha nisikilizie kwanza
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimwambie ukweli wife au niendelee kushikilia msimamo wangu?

    Yaaan siku ya kufa nyani
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nimwambie ukweli wife au niendelee kushikilia msimamo wangu?

    Usikate tamaa mkuu wema wapo
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nimwambie ukweli wife au niendelee kushikilia msimamo wangu?

    Aliyeshikwa na ngozi ndio aliyekula nyama[emoji16][emoji16][emoji1787]
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nimwambie ukweli wife au niendelee kushikilia msimamo wangu?

    Ngoja nikomae kwanza na nyinyi mlale macho in case of anything
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nimwambie ukweli wife au niendelee kushikilia msimamo wangu?

    Roho inanisuta sana ndo tatizo
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nimwambie ukweli wife au niendelee kushikilia msimamo wangu?

    Yaan cna amani kabisa mlale macho wadau yaan hapa wife kabandika maji ya kunyonyoa kuku natamani kumwambie Nina hamu na maharage nahisi kuku naweza kuwa mm
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nimwambie ukweli wife au niendelee kushikilia msimamo wangu?

    Yaan najuta Bora hata ningeitia moto chupi ya elfu 3 inanivunjia ndoa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nimwambie ukweli wife au niendelee kushikilia msimamo wangu?

    Mm tena nikichepukaaa nahisi kilichobaki ni kufumwa face to face nimechoka kwa kweli
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nimwambie ukweli wife au niendelee kushikilia msimamo wangu?

    Likipita hili salama kama nitarudia Tena mnipige mawe tu kwa kweliiiii
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nimwambie ukweli wife au niendelee kushikilia msimamo wangu?

    Asante kaka tatizo Kuna roho ya huzuni inanikaba Sanaa nahisi mkosaji snaaa aiseee hasa kumpazia yeye ndio mkosa
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nimwambie ukweli wife au niendelee kushikilia msimamo wangu?

    Yaan cna la kulaumu kwa kweli naona sir god kaniachia nipambane na Hali yangu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nimwambie ukweli wife au niendelee kushikilia msimamo wangu?

    Hakika Ngoma ikivuma Sana inapasuka waswahili walinena, Leo ni siku mbaya sana ktk maisha yangu nahisi uwezo wangu wa kufikiri umefika mwisho. Ishu ipo hivi jana nilikuwa na mchepuko wangu kwenye gari na unajua Tena wawili wakiwepo watatu wao huwa ni shetani. Sasa bas tukaanza...
Back
Top Bottom