Hongera sana serekali ya mama samia kwa maendeleo makubwa katika jimbo la same mashariki ,Umetujengea vituo vya Afya kila kata hakika mama umetuheshimisha. Umeweza kusambaza umeme kwenye kila kijiji mfano ni vijiji vya lugulu ,kanza ,vumba,vilivyopo kata ya lugulu vimeshaunganishiwa umeme...
Hongera sana Raisi na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema CCM itajitahidi kuingiza vijana wengi kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani katika Uchaguzi Mkuu 2025.
Mwenyekiti Dkt. Samia amesema hayo leo tarehe 26 Julai...
Mama yupo vizuri sana,amejenga madarasa mengi sana na yakisasa,miundombinu kama barabara amejitahidi sana,mfano kuna barabara jimboni kwetu tangu enzi za mkapa niahadi tu ila mama katukumbuka barabara inapigwa lami ,kuanzia mkomazi hadi same kupitia ndungu gonja kisiwani.Wakulima tumeuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.