Search results

  1. Ng'wanangwa

    TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    Rest in peace William. I am very sad, you know?
  2. Ng'wanangwa

    Uchaguzi 2020 Huenda Askofu Gwajima akawa ni msaada mkubwa kwa nchi yetu

    kanisa limemshinda mpaka anakula kondoo
  3. Ng'wanangwa

    Uchaguzi 2020 Ndugu Tundu Antipas Lissu, mgombea bora wa urais kuwahi kutokea Tanzania

    Mzee Mkapa, RIP, pia alikuwa mahiri. anashika nafasi ya pili baada ya Lissu. nadhani ndiye mgombea pekee wa Urais kupitia CCM aliekubali kufanya mdahalo na wagombea wenzake wa vyama vya upinzani 1995.
  4. Ng'wanangwa

    Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

    wasije kumuwekea sumu kwenye MIC Rais wetu Tundu Lissu.
  5. Ng'wanangwa

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    anaumia mipesa yote waliyotumia kuwalipa the so called waunga-juhudi halafu CHADEMA bado tunakinukisha kama zamani. lazima watoe povu.
  6. Ng'wanangwa

    Uchaguzi 2020 Naona kama chama changu kimekata tamaa Dar es salaam

    segerea ipi? hayo mabango ya maccm sisi tunaona uchafu tu.
  7. Ng'wanangwa

    Tafadhali Magufuli: Ambao Hukuwatuma, Wakikatwa Usiwabebe!

    upuuzi mwingine. jiheshimu mzee usiwe na tabia kama za gwajima. mzee ashasema hakutuma mtu hao unaosema 'ambao hukuwatuma' ulisikia wapi?
  8. Ng'wanangwa

    Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

    mikoa ya kusini ni wa kuwaacha hivyohivyo bila elimu bila barabara bila hospitali bila chochote. hayo ni maisha waliyochagua ukienda ukaanza kuwahubiria elimu au kuwaepusha na kangomba wa korosho wanakuchukia na kukuletea moshi kama hivyo kwa lengo la kukudhuru.
  9. Ng'wanangwa

    Pole sana Kipilimba, ilinipasa kunyamaza

    Baba Askofu anaendelea je?
  10. Ng'wanangwa

    RC Makonda: Jiji la Dar es Salaam liko salama, wananchi msiwe na hofu

    huyu aliewahi kutangaza mo kaonekana halafu baadae akaendelea kutokuonekana anataka tumuamini tena?
  11. Ng'wanangwa

    Hoja kuu mbili kuhusu taarifa iliyosambazwa na ubalozi wa Marekani, Tanzania

    mara uko geneva, mara mwaka gani sijuwi ulikuwa UN sudan, mara mtoto wa shemeji yako anafanya kazi ubalozi wa marekani, huu ni uzi au unanadi cv yako?
  12. Ng'wanangwa

    Ubalozi wa Marekani watahadharisha kutokea kwa mashambulizi maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam

    hii fedheha...mabeberu wanatoa security threat alert kwenye dona kantri?
  13. Ng'wanangwa

    Rais Magufuli kuongoza kongamano la korosho, mkoani Mtwara

    apeleke na kikundi cha kumshangilia maana wamakonde walivyo makauzu watamnunia.
  14. Ng'wanangwa

    Kwanini nguvu kubwa kumnadi Rais Magufuli?

    hakubaliki ndomana
Back
Top Bottom