Recent content by Ng'wale

  1. Ng'wale

    Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Tz watu hasa vijana wangekua na uelewa kama huu mpira ungefika mbali zaidi ya hapa ulipo. Asilimia kubwa ya vijana hawauelewi mpira. Ball possession ya Mamelodi ilikua ya back pass sana kwenye eneo lao na hasa kwa goalkeeper Williams akicheza na defenders wake. Ukiangalia kwenye statistics kuna...
  2. Ng'wale

    Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Faida ni kwamba Simba atafunguka sana ili kubalance lile goli la kwa Mkapa na hapo ndipo Mwarabu atakapomaliza mechi.
  3. Ng'wale

    Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Kwenye matuta mara nyingi team mwenyeji na hasa ambayo ni superior tayari huwa inakua Kwenye pressure, ni rahisi sana kupoteza. Mamelodi wasiombe kufika huko na hawatataka kufika huko, watajitahidi kumaliza mechi ndani ya 90 mins.
  4. Ng'wale

    Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Mwambie. Coach Benchikha akiwa na USMA alichukua ubingwa wa Super Cup mbele ya Al Ahly kwa ushindi wa goli moja akiwa na ball possession ya below 30%
  5. Ng'wale

    Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Mpira umechezwa kwa mbinu baada ya kuona kuna baadhi ya key players hawapo. Subiri Pretoria.
  6. Ng'wale

    Namna wanavyokokotoa possesion (kumiliki mpira), nashauri waigawe ktk vipande vitatu ntatumia MAMELOD VS YANGA kama case study

    Vichaka vya kujificha Simba vinafyekwa vyote. Ooohh Yanga wamefika fainali kombe la shirikisho waje huku kwenye club bingwa. Oohh Yanga hawezi kuingia makundi ya champions league, mara Yanga akaingia tena kwa kishindo. Oohh Yanga wataishia makundi hawawezi kuingia robo fainali, Yanga wakatinga...
  7. Ng'wale

    Al Ahly ikiitoa Simba itakuwa ni dharau kubwa sana

    Mkuu, Simba ni underdog kwa Al Ahly kama ilivyo Yanga ni underdog kwa Mamelodi. Ubishi wa nini? Unapata shida kuitwa underdog? Pambana uwe mkubwa ili ukwepe hilo jina. Cc Isanga family
  8. Ng'wale

    Key player wa Al Ahly Kuikosa Mechi dhidi ya Simba

    Hapa inajadiliwa Al Ahly na Simba.
  9. Ng'wale

    Azam wameigharimu sana Yanga kuelekea mchezo wao na Mamelodi

    Hivi unajua ukubwa wa hii mechi?
  10. Ng'wale

    Azam wameigharimu sana Yanga kuelekea mchezo wao na Mamelodi

    Wote watacheza? Au wote hawatacheza?
  11. Ng'wale

    TFF yajitenga na kauli ya Ndumbaro, yatoa hakikisho la usalama kwa timu zitakazokuja kwa ajili ya CAFCL na hakutakuwa na Ubaguzi kama ilivyodaiwa

    Ni errors za kiuandikaji..... wewe umeandika.... ......will bot be used......
Back
Top Bottom