kwani akina Nyerere,Jomo Kenyata,nk.walifanyaje mpaka kuzikomboa nchi zao? nafikiri walipambana bila kukata tamaa,usikate tamaa namna hiyo,cha msingi ni kutafuta nini kifanyike sauti ya wapiga kura iheshimiwe.
Nimekuwa nikifuatilia sana chaguzi mbalimbali hapa nchini unakuta kama wapiga kura wameandikishwa 100,000 watu 40,000-50,000 wanaweza kujitokeza siku ya kupiga kura.je ni kutokana na kukata tamaa kwa sababu tume ya uchakuzi huchakachua matokeo?,au watu hawaelewi umuhimu? au wanapewa pombe na...
ushauri wako mzuri sana na wakizingatia watapona ila usiende tena jukwaa la siasa kule wakali sana si ndo wewe umepost kuhusiana na kukosekana bendela za.......Mwanza! sawa mtambuzi usirudi kule.
mimi nafikiri labda ni kweli hakufanya vizuri kitaaluma hasa ukizingatia alikuwa mtoto wa mtu mkubwa angesomea kwenye sekondari zilizo bora, kwani kuna ugumu gani kujitokeza hapa jf kuweka mambo wazi?kama anavyojitokeza mara kwa mara kujibu hoja zinazohusu ccm?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.