Mimi nina Hisa za NMB bei ya sokoni n 2,340 hisa moja, lakn mm nauza 2,100 kwa hisa moja. NMB n shirika ambalo linazid kupanda thamani mm nauza sababu ya shida ya Ada tu. Faida n kubwa cz thaman inapanda, nauza pungufu na unapata dividend kila mwaka. Nitakupa form ujaze na certificate utaipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.