Recent content by Ngungenge

  1. Ngungenge

    Nunua gari kali, jenga ghorofa

    Nunua gari kali hata 3 jenga gorofa kali acha kisingizio
  2. Ngungenge

    Jumapili Desemba 7 Mapadri na Askofu wa Kikatoliki ni muhimu wazungumzie Amani kuliko Haki

    Sio u mwamba ni ushuzi baada ya kula maharagwe na mayai kwa pamoja lazima utoke ilo tumbo likae sawa
  3. Ngungenge

    PostGE2025 Haitafika mwezi February 2026, kutakuwa na Jeshi la kulinda Amani ndani ya ardhi ya Tanzania

    Nakuhakikishia hakuta kua mq jeshi Kuanziia jalnuary 9 mambo ni shwari
  4. Ngungenge

    PostGE2025 Itafutwe namna serikali izungumze na viongozi wa upinzani na wanaharakati kuona tunamalizaje haya Mambo. Maana!

    Ndugu Robert Heriel Mtibeli unakumbuka kabla ya mo29 nilikwambia Tanzania itajipigania yenyewe on the first place sasa umeanza kuelewa Ni hadi pale itakapojipata tena
  5. Ngungenge

    Kanisa Katoliki, wafu mnaowaombea na walioharibiwa, kuibiwa na kuvunjiwa mali zao, wote ni waumini wenu

    Vitu havipo bila mtu Mtu kwanza Vipi kama waliokufa vitu vyao viliharibiwa Umeshaona kafara ya vitu Tafuta wazee wakupe akili
  6. Ngungenge

    Mama hana makosa, huo ndo uwezo wake. Wasaidizi wamempotosha Ili wafaidike na uwezo wake

    Kuanzia September 2024, Watu wasio wema walimrubuni Mama yetu Hata hivyo wakati ni ukuta
  7. Ngungenge

    Mama hana makosa, huo ndo uwezo wake. Wasaidizi wamempotosha Ili wafaidike na uwezo wake

    Hahaaa Hii ni sawa na kushtuka dada wa kazi kudokoa mboga Ni sawa na umbea
  8. Ngungenge

    Familia yangu imeniambia haioni faida Yoyote ya mimi kutetea haki hasa Haki za watu wanafiki na wabinafsi

    Mtibeli hii nchi haikutegemei wewe Hii nchi inajipigania yenyewe Hivyo chukua popcorn enjoy Subiri result
  9. Ngungenge

    Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...

    Kafika point of no return Kavuka red line zote Kiburi, jeuri na mmlaka amevipenda Hivyo tusubiri u matoke ya Karma Kwa mujubu wa kikao cha wasio na mwili, hukumu imeshatoka
Back
Top Bottom