Na Daniel Mbega
JUMANNE ya Agosti 4, 2015 wabunge wa Jubilee nchini Kenya waliamua kwa nia moja kumsafisha na kumtakasa Makamu wa Rais William Kipchirchir Samoei arap Ruto baada ya kuitupilia mbali ripoti ya uchunguzi kuhusu ubadhirifu wa fedha za umma kuhusiana na ndege aliyotumia kiongozi...
MSIMAMO WA SUMAYE KISIASA NI WA KIITIKADI AU KIMASLAHI?
Na. Gwamaka Aswile Neno siasa lina tafsiri nyingi. Frank Underwood, muigizaji mkuu wa tamthiliya ya kwenye runinga ya ‘House of Cards' aliwahi kutafsiri mchakato wa kusaka madaraka kwa maneno haya: "Njia ya kusaka ama kuelekea kwenye...
Mdahalo ni muhimu kwa wagombea urais
Takribani mwezi mmoja umepita Tangu , Baraza la Habari Tanzania (Media Council of Tanzania) kwa kushirikiana na taasisi nyingine kadhaa, ikiwemo Twaweza, Kutoa mialiko kwa vyama vya siasa vilivyosimamisha Wagombea wa nafasi ya urais juu ya kufanyik akwa...
Na Daniel Mbega
MASHAIRI ya sasa ya siasa hayana mizani wala vina, tena hayana urari! Hata ngonjera na tenzi vyote huwa na beti, mizani na vina.
Tanzania imegubikwa na tufani ya Ukawa, hususan Edward Lowassa. Wimbi kubwa la wanaohemka ni la vijana, wengi wao wakiwa waliozaliwa katika miaka...
Rostam Aziz aliyejiuzulu Ubunge wa Igunga mwaka 2011 kwa shinikizo kutokana na kashfa ya ufisadi, amerudi kwenye siasa kwa nguvu kubwa huku akiapa kuwa ni lazima ahakikishe anamuingiza Rais wake kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka 2015 kwa kutumia fedha alizonazo.
Katika kuitimiza azma yake...
Rostam aweza kuwa mtu hatari, mwenye kuzichezea siasa za Tanzania. Huyu akiwa pale LSE UK, alijenga urafiki mkubwa sana na binti wa mkubwa mmoja na muhimu katika Tehran (siasa za Iran). Haikufahamika kwa haraka ni nini alichokuwa akikitafuta kwa huyo binti na nani alimtuma ajenge huo urafiki...
Kwa sasa kuna mgogoro mkubwa ambao umeibuka ndani ya Team Lowassa baina ya wale wanaomuunga mkono Apson Mwang'onda na kambi ya Rostam Aziz. Chanzo changu ndani ya Team Lowasa kimebainisha kuwa mara baada ya ujio wa Rostam, hali ndani ya kambi hiyo imeanza kwenda kombo kutokana na kutofautiana...
Aliyejiuzuru Uwaziri Mkuu kwa kashfa za Richmond alizotuhumiwa bungeni Edward Lowasa, ametengeneza mtandao mkubwa kupenya ateuliwa kuwa mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia CCM.
Kimsingi Lowasa ana jina kubwa lakini hana sifa au sera anazoeleza wazi atakachofanya...
Tayari Makada wa CCM waliokuwa wamefungiwa na Chama hicho kujihusisha na masuala siasa kutokana kuanza harakati za kuusaka urais mapema tofauti na Katiba ya CCM wako huru. Mbunge wa Monduli , Edward Ngoyayi Lowassa akiwa mmoja wa Makada hao tayari ameshakutana na vyombo vya habari kuelezea...
KWA zaidi ya miezi nane sasa baadhi ya wafanyabiashara wenye maduka katika mikoa mbalimbali wamekuwa wakigoma kufungua maduka yao kwa madai mapya kila awamu wanayogoma.
Mgomo wa kwanza walivyogoma walidai kuwa mashine za EFD wanauziwa kwa gharama kubwa na kwamba hawawezi kuzinunua, kodi ni...
Mbunge wa Igunga mkoani Tabora, Rostam Aziz amekana shutuma za ufisadi zinazomkabili dhidi yake zilizotolewa na Reginald Mengi hivi karibuni. Rostam alikana hutuma hizo zinazomkabili mbele ya vyombo mbalimbali vya habari jijini Dar es Salaam jana.
Alisema kuwa mwenyekiti mtendaji wa kampuni ya...
Boniface Meena na Mkinga Mkinga
MFANYABIASHARA maarufu nchini, Reginald Mengi jana aliamua kujitoa muhanga alipotangaza majina ya wafanyabiashara watano wenye asili ya Kiasia ambao anadai kuwa ni mafisadi papa wanaoiba mabilioni ya fedha za wananchi na kutaka wachukuliwe hatua kwa madai kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.