Recent content by Ngudu

  1. N

    Muungano mpya wa Wagombea Urais CCM: Nini hatma ya CCM 2015?

    Huu muungano unaweza kuungwa mkono na mwenyekiti wa chama? Habari zisizothibitishwa Membe na Mwenyekiti ni brothers!! Ndio inasemekana Riz anamuunga mkono. Nijuzeni habari kuhusu hilo
  2. N

    Kikwete: Hata kama Mtu anayechochea Wananchi ana mapembe, tutayakata!

    Yote yanayotokea ni ges? Au fadhila? Je wachina wamepewa vitalu vya gesi kulipia fadhila? Mengi yamasemwa mitaani, wana jf tujuzeni ukweli, ni kweli inahusu kuokoa maisha ya mtu?
  3. N

    Viongozi CUF waendelea kulia na CHADEMA

    Maalimu aache ubaguzi? Acha hizo, mbaguzi huyo. Anazuga tu, kwa kuwa yuko kwenye serikali ya umoja. Akiwa mtawala Zenji. Kila kitu kitakuwa ni wapemba tu. UAMSHO HUYOOOO
  4. N

    Viongozi CUF waendelea kulia na CHADEMA

    Tena hao CUF na huyo maalimu mtawala mstaafu ndio uamsho. Hawataki muungano. Sasa mgoja huo muungano ufe kama kisiwa cha pemba kitawatosha. Pole ya yaliyotokea Arusha ya nini maalimu? Fanya tafrija
  5. N

    Msimamo wa udini Tanzania: Maneno kutoka kwenye kinywa cha Rais wa Jamhuri

    Huo ni wajibu wake kumaliza mgogoro huu wa udini kama kweli ana nia njema. Mashehe, wachungaji na mapadri sio. Wenye rungu la dola.
  6. N

    Msimamo wa udini Tanzania: Maneno kutoka kwenye kinywa cha Rais wa Jamhuri

    Kama Mh. Anashindwa kuchukua hatua, nani atamfunga paka kengele? Aliapa kulinda katiba ya nchi isiokuwa na dini, kiapo hicho bado kipo? Kwa nini basi kuwepo mauaji ya udini?
  7. N

    Msimamo wa udini Tanzania: Maneno kutoka kwenye kinywa cha Rais wa Jamhuri

    Wameanzisha udini, ngoma imekuwa nzito. Sheria inachukua mkondo wake kwa wahalifu gani? Wachochezi wa udini wote wanajulikana, mbona wako huru?
  8. N

    Msimamo wa udini Tanzania: Maneno kutoka kwenye kinywa cha Rais wa Jamhuri

    Wengi wa viongozi wetu hawaijui katiba. Kwamba Tanzania haina dini, watu wake wana dini. Siasa mufilisi ndio haya matokeo yake.
  9. N

    Mlipuko Arusha: Watu 8 wakamatwa, wamo raia wanne wa Saudi Arabia

    Tumezoea ngonjera za wanasiasa. Udini ni matokeo ya siasa muflisi.
  10. N

    Kardinali Pengo alionya toka 2006

    Kidole kimoja wamwelekeza Pengo. Vingapi vinakuelekeza wewe.
Back
Top Bottom