Recent content by ngude Masanja

  1. N

    JamiiForums Tanzania Je, vioo vya TCL vina hali ya kuwa na mambo haya?

    Hahahahaha 😂 😂 . Sawa Kiongozi nljua napgwa.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Je, vioo vya TCL vina hali ya kuwa na mambo haya?

    Habari! Nihitaji kununua TCL android tv 32 ". Kwa Bahati nzuri nilifika Kariakoo nikatafuta hizo TCL na kuzIpata lakini cha ajabu vioo vyake naona si kama nlivyotarajia kwani ukivipiga piga (gusa gusa) wakati screen inaplay video vinaleta hali ya mawimbi au mwanga mweupe mdogo.(Unapo vigusa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilisababisha usijiunge na UDSM?

    UDSM hauwez kusoma law kwa miska 3. Ni kuanzia miaka minne. Na ili upate NAFASI ya kusoma law udsm lazma uwe na angalau dvsn 1-7. Ya kidato Cha sita.
Back
Top Bottom