Kufanya mkutano ni mojawapo wa kutatua kero zinazowakabidhi watu unaowajali. Pia ni kupanga mikakati ya kimaendeleo kwa siku zijazo, nani kakuambia ni kuchezea fedha? kuchezea fedha ni kama vile kutumia fedha kwenye ulevi, umalaya na mengine yanayofanana na hayo.
Kumbe wewe ndiwe Nyapala ulikosea, nimekuja kuangalia maendeleo yako tokea ufungwe jela sijakutembelea, ila cheo hicho maendeleo c mabaya, nitawasalimia wa kwenu ninaporudi nyumbani. Angalizo usitengeneze kesi nyingine ukaongezewa miaka mingine tafadhali sitakuja tena kukupa hope
Namkubali sana kamanda Mbowe, kaza uzi baba, hakatishwi mtu tamaa hapa, changamoto ni kitu cha kawaida ktk mafanikio ya mtu yeyote na kwa chama chochote duniani. Yalikuwa ni mapito na kwa uweza wa Mungu yamepita, hatutakiwi kuangalia nyuma bali ni kusonga mbele kwa speed ya 120, 160, 180 ....na...
Chadema ni moto wa kuotea mbali, waliosema kuna ubaguzi wabaki hivyo hivyo, cc tunasonga mbele kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu kutoka utumwani mwa umasikini unaoimbwa kila kukicha bila kupatiwa uvumbuzi wala dira
Chadema ni moto wa kuotea mbali, waliosema kuna ubaguzi wabaki hivyo hivyo, cc tunasonga mbele kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu kutoka utumwani mwa umasikini unaoimbwa kila kukicha bila kupatiwa uvumbuzi wala dira.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.