Recent content by NGOSHA13

  1. NGOSHA13

    JamiiForums Tanzania Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato

    Naongezea 8. Pia wana kasumba ya kwenda kutubu dhambi zao kwa padri
  2. NGOSHA13

    JamiiForums Tanzania Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato

    Karibu katika familia ya wasabato kwan sabato iliumbwa na Mungu mwenyewe wala hakuna muasisi na hii ilifanyika mara baada ya kuumba mbingu na nchi kwa siku sita na siku ya saba BWANA alistarehe akaifanya sabato soma kitabu cha mwanzo kwa marejeo sahihi.
  3. NGOSHA13

    JamiiForums Tanzania Usikate tamaa! Kiilichonitokea katika safari ya elimu kimenipa ujasiri wa kutokata tamaa

    Miaka kadhaa iliyopita nilifanikiwa kusoma Elimu ya sekondari lakini nilivyomaliza sikubahatika kufaulu kujiunga na kidato cha tano kwani nilipata daraja la 4, hivyo nilikua sina tumaini lolote na nkaona mimi na mambo ya kusoma ndio hivyo basi tena, ikabidi nijiunge na chuo kilichopo chini ya...
Back
Top Bottom