Habari wadau.
Nipo Dar kwa sasa nilihitaji kujua kwa wale wazoefu wa uzalishaji wa ice lolly (lambalamba) mambo yafuatayo:
1. Vifaa hasa vinavyotakiwa.
2. Gharama yake.
3. Changamoto.
4. Soko lake pia
Habari wadau,
Nimefanikiwa kupata capital na ninataka kufungua car wash sites mbili ninahitaji kujua yafuatayo:
1. Vifaa vya kutumia (capital equipments)
2. Sehemu ya kuvipata kwa bei nafuu na ubora unaoridhisha.
3. Je biashara inalipa kwa hapa Dar es Salaam?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.