Recent content by NGONGOTY

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe Prof. Mruma si mzalendo kama wengi wanavyodhani

    Itatugharim sana kwasababu raisi ni mnafiki wa kupindukia, ameshiriki mabalaza ya mawaziri karibia awam tatu mbona hajawahi kulisemea? Kwasababu angeanzia huko ingekuwa vizuri, tena wenzie wasingemfukuza kwa kuwa wanaakili timamu, suo kama yeye, ukimpinga tu, anakufukuza....Ndio maana nasema...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Moshi Mjini na Meya wazuiwa kuhudhuria kikao cha Rais na Viongozi wa dini

    Mbunge wa Moshi Mjini, Japhary Michael, ameeleza kusikitishwa kwake juu ya Maofisa Usalama kuwazuia yeye na Meya wa Manispaa hiyo kuingia Ikulu ndogo ya Moshi kuhudhuria kikao cha Rais John Magufuli na viongozi wa dini. Michael ambaye ni wa CHADEMA, alisema tukio hilo lilitokea juzi baada ya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    Habari zilitufikia hivi punde zinaarifu kuwa mfanya Biashara maarufu na Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji amefikishwa ktk Mahakama ya Kisutu. Taarifa zinaarifu kuwa, mfanya biashara huyo tayari yuko ktk mahabusu ya Mahakama hiyo akisubiri kupandishwa kizimbani kwa tuhuma za kutumia madawa ya...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Lissu aibukia Mahakama Kuu, atangaza mgomo wa kula hadi apewe dhamana

    Wacha waisome nambaaaeee...waisome naambaa...CCM, mbelekwambele.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jambo Leo linapatikana bure likiwa na headline "Huyu ni Manji mnayemzungumzia?"

    Hiki ndio chama tawala, lazima ajue kuwa hapa ni kazi tu...
Back
Top Bottom